Mtandao wa badoo unatumika vibaya

Mtandao wa badoo unatumika vibaya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,804
Reaction score
830,982
Ni mtandao kama facebook hivi basi jana nikaingia huko, watu wanne tu niliochat nao wamenifanya niuchukie huo mtandao

Wa kwanza alikuwa binti toka Arusha , ile kuchat nae Kidogo tu akapiga kizinga cha elfu 50, nilipomtolea nje nikaambulia matusi

Wa pili alikuwa mdada pia wa hapahapa Dar , yeye akani-invite kwenye massage, lakini massage yenyewe ni kunyonywa sirini na uchafu mwingine, gharama ni ileile elfu 50,

Watatu ni mkaka yeye kaanza kusema kavutiwa na picha yangu nikashtuka, akasema anapenda sana 'to have funny with sexy Men' mmh nikamblock fasta

Wanne baada ya chat ya muda mfupi akasema ana michongo ya ulaya inayolipa sana
Jamani huu mtandao sio unatumika vibaya naamini haukuwa na malengo hayo
Kama huamini jaribu kuingia badoo.com
 
Mitandao mingi ujinga hufanyika haswa maswala haya ya utapeli kikubwa zaidi ni kuwapotezea wale wote unaona wanaleta harufu ya utapeli,maana hayo si malengo ya mitandao
 
Huwezi ukawa active meber wa kila social network tutakuwa machizi mimi niliupiga chini tokea juni mwaka jana baada ya kuona hauna mbele wala nyuma wa kawaida sana alafu eti na wenyewe wanatoza hela baada ya kuwa member wa muda mrefu wtf.mitamdao ya ukweli na yamaana ni free of charge chao cha hovyo baadhi ya vitu eti unalipia kama gift n.k upuuzi mtupu.
 
Ni mtandao kama facebook hivi basi jana nikaingia huko, watu wanne tu niliochat nao wamenifanya niuchukie huo mtandao

Wa kwanza alikuwa binti toka Arusha , ile kuchat nae Kidogo tu akapiga kizinga cha elfu 50, nilipomtolea nje nikaambulia matusi

Wa pili alikuwa mdada pia wa hapahapa Dar , yeye akani-invite kwenye massage, lakini massage yenyewe ni kunyonywa sirini na uchafu mwingine, gharama ni ileile elfu 50,

Watatu ni mkaka yeye kaanza kusema kavutiwa na picha yangu nikashtuka, akasema anapenda sana 'to have funny with sexy Men' mmh nikamblock fasta

Wanne baada ya chat ya muda mfupi akasema ana michongo ya ulaya inayolipa sana
Jamani huu mtandao sio unatumika vibaya naamini haukuwa na malengo hayo
Kama huamini jaribu kuingia badoo.com

mkuu huko badoo ni pasua kichwa!kimbia fasta
 
Hii mitandao siyo yote ni kwaajili ya mijadala kama hapa Jf,mingine ipo kwaajili ya kutafuta wachumba n.k sasa ukiwa huna shida na hayo mambo basi webaki huku huku Jf.Maana kunamitandao mingine ukipost issue ya maana kama masuala ya mustakabali wa nchi yetu sisi kama vijana tumejipangaje?Watakao changia ni wachache sana hiki ndiyo kizazi cha sasa kazi bado ni ngumu sana.Huko Fb nilikua naangalia post mbali mbali lkn zinazopendwa ni zile zisizo msaidia mtu kumtoa sehemu moja kwenda nyingine kimaendeleo, mfano kuna Dada alipost Samahani nanukuu "Jamani naumwa kiuno " yaani watu waliochangia niwengi sana na pole nyingi kana kwamba ni issue nzito kweli?? Kwahiyo wala sishangai maana wengi bado wanawaza kutawaliwa tu haiingii akilini mtu ni graduate lkn anapost upuuzi tu hamna hoja ya maana hata moja sasa wenzetu walianzisha hizi social network kwaajili ya kutusaidia kimaendeleo lkn sisi hatutumii nafasi hiyo kabisa.Vijana wenzangu tubadilike sasa
 
Niliuacha tokea 2011 ujinga mtupu upo kule ni Kama dating site!!
 
Halafu imejaaa warcenge unakuta unaambiwa live kabisa "bro I want you to fvck me !!!laaahaulah hii nchi ina mashoga wengi kuliko tunavyofikiri
 
Mnaangaika mno vijana jf haiwakidhi

Mimi mke wangu mkubwa ni JF na nyumba ndogo ni FB wote wavumilivu ila JF anaadabu zaidi na wananitosheleza vizuri tu!

Hawa kina BADOO ni machangudowa sitaki hata kuwaona!
 
hahahaaa kani-bomu laki Mona, nyokolo kama anaweza aende ground tanzanite no free
 
Badoo ni dating site so ukiingia huko lazima ukutane na hayo mambo ya mashoga, vibomu etc.
 
Ni mtandao kama facebook hivi basi jana nikaingia huko, watu wanne tu niliochat nao wamenifanya niuchukie huo mtandao

Wa kwanza alikuwa binti toka Arusha , ile kuchat nae Kidogo tu akapiga kizinga cha elfu 50, nilipomtolea nje nikaambulia matusi

Wa pili alikuwa mdada pia wa hapahapa Dar , yeye akani-invite kwenye massage, lakini massage yenyewe ni kunyonywa sirini na uchafu mwingine, gharama ni ileile elfu 50,

Watatu ni mkaka yeye kaanza kusema kavutiwa na picha yangu nikashtuka, akasema anapenda sana 'to have funny with sexy Men' mmh nikamblock fasta

Wanne baada ya chat ya muda mfupi akasema ana michongo ya ulaya inayolipa sana
Jamani huu mtandao sio unatumika vibaya naamini haukuwa na malengo hayo
Kama huamini jaribu kuingia badoo.com

Huyo wa masage namtaka make 50 sio issue..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom