Shida Hakuna paliko salama mazima, kwa wenzetu huko mbele.Airtel mtandao wa hovyo tz, sema tunalia nini si tuhame tu, kwani ngumu?
Ngumu sana kwa namba iliyozoelekea na wateja...Airtel mtandao wa hovyo tz, sema tunalia nini si tuhame tu, kwani ngumu?
Yani ndicho kimenitokea mimi toka asubuhi msg zinafail, internet iko down, calls hazitokiLeo 20 January mtandao wa airtel umekuwa down kabisa, sms haziendi, Internet imegoma na huduma za airtel money zimekuwa chini sana ku process.
Yaani nimepata hasara sana leo pia nimeshindwa kuwasiliana nipo pande za Dar hapa.
Airtel mtufidie wateja wenu kwa usumbufu huu
🤣🤣🤣🤣🤣Nili hamaga huwo mtandao zamani sana,
Kuna siku hiyo sito sahau, D wangu amenipigia halafu kwake akapokea mwanaume, halafu na mie nilivyo pokea akapokea mwanamke.
Sindio uchonganishi mwenyewe Mara ukimpigia mtu, hapatikan na yuko hewani kabisa message zinafika baada ya siku mbili.
Mwache mdogo wangu🤣🤣anatumia safari comUta shangaa nusu albino Half american ana lalamika, akati ana tumia simu ya dada ake Joannah
Airtel ni ya miamala tuUta shangaa nusu albino Half american ana lalamika, akati ana tumia simu ya dada ake Joannah