Aaaargh Adam himself was....leave alone his generations!!!!
Deviant characters wakiwa na kitu kinachowaunganisha kama dini au pombe au bange lazima tuhoji hicho kinachowaunganisha. mf. kinachowaunganisha mateja ni unga. ili kutatua matatizo ya mateja lazima tu address unga. hivyo hivyo uislam kwasababu walipua mabom wote ni waislamu. magaidi wote ni waislam hii inatufanya to deduce kwamba uislam ni tatizo ndani ya jamii yetu. tuuepuke
af kuna watu wanaona kwamba kuitwa mkristo ama muislam ukafanya kosa fulan ni big deal na tena hufikia kuvictimize watu wote wa dini ile.
apart from siye kuwa na dini fulan lkn haijatufanya tusiwe binadamu wa kawaida na ambao tunaweza kukosea kiwango cha kawaida.
kisa kakutwa na mabom ni ishu lakin kwenye kutenda dhambi nyingine bado kunaonekana hakuna tabu
aya bhana.............................
umenivunja mbavu asbh hii lol!!
to wind up, we are all sinners, na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu
na mbaya zaid watu wameamua ku align na haya mazuzu...............
Tatizo mnaamini sana "dini" na "labeling" !!!!!
Deviants lazima watoke miongoni mwa jamii
Ukitenda dhambi ambayo inakuathiri wewe na nafsi yako kwanini wengine tuumie? ila unapo amua kutenda dhambi ambayo inawaathiri watu wengine ndio tunalaani kwani hawa unao wahusisha wana makosa gani? mathalani ukienda kupiga bomu kwenye mkutano wa siasa amba unahusisha watu wa dini zote, makabila mengi,watoto kwa wakubwa,wenye dini na wasio na dini,Je, kwanini tusikushangae? maana inaonekana lengo lako lilikuwa ni kudhuru binadamu wenzako jambo ambalo si jemahata kidogo. binafsi najua kuwa wanao potoka hawakosekani katika kundi lolote iwe katika familia, ukoo,dini,kabila,kundi la siasa lakini inapo tokea kuwa kundi fulani kila wakati ni wao lazima tujiulize KWANINI WAO KILA WAKATI? LAZIMA KUNA JAMBO.
Deviant characters wakiwa na kitu kinachowaunganisha kama dini au pombe au bange lazima tuhoji hicho kinachowaunganisha. mf. kinachowaunganisha mateja ni unga. ili kutatua matatizo ya mateja lazima tu address unga. hivyo hivyo uislam kwasababu walipua mabom wote ni waislamu. magaidi wote ni waislam hii inatufanya to deduce kwamba uislam ni tatizo ndani ya jamii yetu. tuuepuke
Haya madini mengine ya kipuuzi sana.
Ni kweli mkuu.
lakini lazima tuwe tunajiuliza maswali ya msingi hata kama tunajaribu kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Jiulize kwa nini dini fulani tu ndio inahusika zaidi katika mambo haya ya ugaidi mifano halisi tunayo, Al shabaab, alqaeda, Boko, hamas na mengine kama hayo mengi tu. nini Kipo nyuma ya haya. Je ni mafundisho yanayotolewa? Au kuna nini, je nini dhamira ya haya yote mwisho wa siku.
mi nadhani kutetea ujinga ni sawa na kufuga bom ambalo kuna siku litalipuka na pasiwepo wa kuweza kulizuia na ndipo itakapo kuwa mwisho wa amani iliyopo sasa licha ya maisha kutupiga.
Hawa jamaa wapo serious and it seems that they are committed to what they are doing and this spirit is takinp up as time goes on. kama haitafanyika uchunguzi wa kutosha ili kujua chanzo, dhamira na kujua nini kinatakiwa kufanywa wakati huu bado mapema. Bas huko tuendako hali itakuwa tete zaidi.
sipingani na hilo ila napinga watu kuwa victimized kwa dini zao................ayo mabomu ni wakristow angapi ambao wanayo na wameyaficha?? ama ni kwakua hawajayafanyia tukio?? na je ingekuwa ni mkristo anayo ungesemaje\??Ukitenda dhambi ambayo inakuathiri wewe na nafsi yako kwanini wengine tuumie? ila unapo amua kutenda dhambi ambayo inawaathiri watu wengine ndio tunalaani kwani hawa unao wahusisha wana makosa gani? mathalani ukienda kupiga bomu kwenye mkutano wa siasa amba unahusisha watu wa dini zote, makabila mengi,watoto kwa wakubwa,wenye dini na wasio na dini,Je, kwanini tusikushangae? maana inaonekana lengo lako lilikuwa ni kudhuru binadamu wenzako jambo ambalo si jemahata kidogo. binafsi najua kuwa wanao potoka hawakosekani katika kundi lolote iwe katika familia, ukoo,dini,kabila,kundi la siasa lakini inapo tokea kuwa kundi fulani kila wakati ni wao lazima tujiulize KWANINI WAO KILA WAKATI? LAZIMA KUNA JAMBO.
propaganda za vyombo vya Habari zimechangia kwa kiasi kikubwa kueneza chuki na fikra potofu, sio Tanzania tu bali ulimwenguni pote.
Matokeo yake Ndio tunayo yaona Leo, na Kuna hatari ya matokeo mabaya zaidi huko tuendako.
Mi nikikutana nayo huwa naya blast halafu huyooo naenda zangu machungani kunenepesha mifugo yangu!!!!!
Olesaidimu you will agree with me that islam is a straight jacket and has affected your intellectual faculties to a point of no return. Indeed islam is like opium I need not look further.
Your ID has it all!!!
Nimependa majibu yako leo. :thumbup:
Watu wa iman moja wakawa na kasoro moja,ya kuua watu.Tatizo ni iman hiyo na sio watu.Kuushinda ugaidi lazima Pawepo na mapambano juu ya iman hizi
Watu wa iman moja wakawa na kasoro moja,ya kuua watu.Tatizo ni iman hiyo na sio watu.Kuushinda ugaidi lazima Pawepo na mapambano juu ya iman hizi