
ushamba una wasumbuaSio wote mkuu, anaweza olewa na asie mchawi au huko kwenu akaolewa na mchawi.Mikoa ya Kusini wachawi Sana.
Mbeya,Iringa,Sumbawanga, yani sitaki kuskia dada yangu kaolewa huko, hawafai kabsa
Akuna asiependa mteremko ttzo ni break ziki fail imekulaWanaopenda mteremko kazi kwao
Si umeona ktu maji ya afrka hyo?? na mjengo huo iringa town hapo!!Huyo jamaa kwenye picha ya pili kutoka mwisho ni wazi kabisa maeneo ya Miyomboni-Iringa Mjini watakuwa wanamfahamu,hiyo picha alipiga karibu na Kalenga Motel,mfuatilieni![]()
uyu mchiz namjua kabsaa!!Hajatiwa nguvuni bado anasubiri nini!?