Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

Huo wizi wa kitambo sana. Zamani walikua wanatumia dola za marekani. Wanakua na sample kidogo ya dola original wanapaka uchafu halafu wanajidai wana dawa ya kusafisha. Hapo wanakua na mzigo mkubwa wa makaratasi yaliyokatwa size ya pesa wanakwambia huu mzigo unahitaji dawa kumbe ni makaratasi. Ukiwapa pesa wanakuachia makaratasi. Watu wengi wameibiwa sana na huu wizi.
Kifupi pesa inatafutwa kwa kufanya kazi.hakuna pesa ya bure au urahisi kiivyo. Wajinga ndio waliwao.
 
Hapo wote waduanzi coz wanataka vitonga, wewe Dunia hii upate million 20 kizembe tu
 
Back
Top Bottom