Arsenalist1
Senior Member
- Jul 13, 2015
- 163
- 50
Mkuu net ya voda iko vzr? Mm huku natumia Halotel ni hatari. Anyway mm natumia simu kucheki gemu zote iwe EPL, LIGI 1,LA LIGA, BUNDAS LIGA etc kupitia app ya SPOTFORUMZa Humu Ndani wadau, nilikua Niki stream na mamaHD.com kwa PC nikitumia Voda net, na nilikua na stream vizuri...kwa sasa inakatika Katika Sana...mtandao gani mzuri ku stream online? Or best web ya stream online premier league.. Natanguliza shukran
Nenda hapa www.goatdee.net a hakikisha browser yako ume install flash player
safi Sana nacheki game live spurs anaongoza 1Nenda hapa www.goatdee.net a hakikisha browser yako ume install flash player
What smart?Tumia Smart
Ilikua vizuri... Hivi karibuni ndio inazinguaMkuu net ya voda iko vzr? Mm huku natumia Halotel ni hatari. Anyway mm natumia simu kucheki gemu zote iwe EPL, LIGI 1,LA LIGA, BUNDAS LIGA etc kupitia app ya SPOTFORUM
ThanksNenda hapa www.goatdee.net a hakikisha browser yako ume install flash player
Za Humu Ndani wadau, nilikua Niki stream na mamaHD.com kwa PC nikitumia Voda net, na nilikua na stream vizuri...kwa sasa inakatika Katika Sana...mtandao gani mzuri ku stream online? Or best web ya stream online premier league.. Natanguliza shukran
Asante mkuu
hio link ya reddit ndani utakuta links za simu pia ila hakikisha tu una adblocker hilo ndio la muhimuCheaf mkwawa mambo vipi sasa chief kwenye smat phone hiyo football hd inaweza play
Kwa smart phone tumia mobdro haipo play store idownload kawaidaCheaf mkwawa mambo vipi sasa chief kwenye smat phone hiyo football hd inaweza play
Inakuaje hiyo mkuu mimi nina window phoneMkuu net ya voda iko vzr? Mm huku natumia Halotel ni hatari. Anyway mm natumia simu kucheki gemu zote iwe EPL, LIGI 1,LA LIGA, BUNDAS LIGA etc kupitia app ya SPOTFORUM