Mtambo wa...!

Mtambo wa...!

Yani kule monduli kwenye jumbo la mstaafu ni meeeengi sana nikajua wanagandishia maziwa labda, kumbe ni mtambo wa viroba?😱ahsante JF kwa kunisafisha macho leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuna sehemu katavi babu anatengeneza pombe moja matata sana,wao wameeita loliondo watu wanalewa na kujiharishia tu. watu wa katavi watakuwa wanapajua kazima huko ni balaa
Teh teh Mkuu wakati nikiwa Mpanda nilisikia hii kitu nikaamua kwenda Kazima kujionea mwenyewe,si mchezo aisee haina tofauti na pingu ya Dar.
 
Teh teh Mkuu wakati nikiwa Mpanda nilisikia hii kitu nikaamua kwenda Kazima kujionea mwenyewe,si mchezo aisee haina tofauti na pingu ya Dar.

hahahahaha ile kitu matata sana jamaa,kuna watoto wa sekoondari fulani jirani wanalewa mda wote
 
Back
Top Bottom