mtambo wa gongo

mtambo wa gongo

chademaone

Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
9
Reaction score
0
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya
kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakini ni mitambo tu siyo gongo
mheshimiwa!
JAJI: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!.
MTUHUMIWA: Basi nihukumiwe kwa kosa la
kubaka.
JAJI: Kumbe ulibaka pia?
MTUHUMIWA: Hapana ila hapa ninacho kifaa
chakubakia
JAJI:ni nin?
MTUHUMIWA: Penis
JAJI: !!! Upo huru
 
Back
Top Bottom