Ngoja uone kama atatoa bei..Mkuu toa bei ya kununua mtama tufanye biashara
Bei inategemea na upo mkoa gani mkuu
Mkuu huwezi mpa mtu bei ya arusha wakati yy yupo sumbawanga wala huwezi mpa mtu wa arusha bei ya sumbawanga.Yani ukitaka kumjua mtu mbabaishaji, muulize bei anayo nunulia ni kiasi gani? Atajibu maswali mengine yote, lakini hilo la bei utasubiri sana..
570 kwa dodoma mkuu.