Mtama mweupe unahitajika

Mtama mweupe unahitajika

keniTz

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
15
Reaction score
34
Habari wakuu,

Mtama mweupe unahitajika, angalau tani 30 kwa wiki.

Pia kama utapatikana zaidi ya kiasi hicho kwa wiki itakua vizuri zaidi.

Mkoa wowote tunaweza kufika, chamsingi iwe ni ndani ya Tanzania.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0626532223
 
Kiongozi,
Mnanunua kwa wastani wa shs ngapi kwa gunia la kilo 100 (mfano Morogoro)
 
Back
Top Bottom