Mtakuja kufa kwa kutafuta nguvu za kiume

Mtakuja kufa kwa kutafuta nguvu za kiume

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Unakuta watu wanaguguna mihogo mibichi, wamejazanana kwenye vibanda vya pweza na siku hizi wanahangaika kutafuta mayai ya kwale.

Sikuhizi ukitaka biashara yako itoke sema inaongeza nguvu za kiume. watu wako tayari kula hata kenge. ukiwaambia nyama ya mtu inaongeza nguvu lazima wataanza kulana.

Kwenye hizo dawa asili wengi huchanganya viagra ambazo ni hatari kwa moyo dawa pekee ya nguvu za kiume ni mazoezi kama una kitambi na hata ngazi za ofisini huwezi kupanda jua hata kitandani huwezi kuwa na nguvu, hawa wamasai mnaowaamini wanawalisha sana viagra.

Wengine wanatafuta miti ya porini wanaichanganya na kuwageuza guinea pigs.
 
Ha ha leo nimemsikia mtu anasema ukinywa mayai ya kwale unachanganya na asali eti unaongeza nguvu za kiume
 
yote hayo kwa ajili ya wadada/wanawake
 
Ukosefu wa nguvu za kiume ni dalili ya magonjwa makubwa kama hypertension na kisukari. Kiashiria kizuri cha matatizo ya moyo ni ukosefu wa nguvu za kiume kwa hiyo kama unavyosema mleta mada, mazoezi na vyakula kama matunda, mboga na hamirojo kutoka kwenye jamii ya maharage. Ugali, kwa sababu tayarisho lake halihitaji mafuta n.k
 
Chief umenikumbusha dereva wa ofisini tulienda Rukwa akanunua mkuyati akaunywa bila maelekezo ile tuko njiani balaa likaanza bahati akaweza kupaki gari pembeni kilichofuata ni kutapika,kuharisha na presha ikapanda vibaya ni bonge ila alijikunja teheee teheeee tulisubiri zaidi ya masaa 3 akarudi kwenye hali yake angalau ile kumuuliza akasema alikunywa kama juice.
 
Ha ha leo nimemsikia mtu anasema ukinywa mayai ya kwale unachanganya na asali eti unaongeza nguvu za kiume
yaani watu wanaliwa sana. ukimwambia nipe mechanism of action hana. si ajabu akuchanganyie viagra kwenye asali. sedentary lifestyle ndiyo linatumaliza.
 
ht mimi najiulizaga,maana kuna kidem iv kimoja tuuu...kwisha habar.hana ham mpaka cku nyingine.mwenye kujua atujuze..km huyu ana upungufu wa nguvu za kike????
 
Hivi kuna wadada ambao hawana nguvu za kike?

Wanatubebesha failure zao.
Asilimia kubwa ya wanawake wakifika kibo hawataki tena kurudia, ukiona wanamanua mpaka goli nne ujue hawajafika, sasa ukikuta hana hisia mkuu majina ya ajabu ajabu yatakuhusu.

N.b ni ngumu kwa wanawake teenagers kufika kileleni, 98% hawafikagi.

Old dogs hawawezi michakamichaka yao, ndio maana lazima watoke na majina mapya.
 
True 110%
 
unachanganya madesa kuna tofauti kati ya wasichana na wanawake.
 
ht mimi najiulizaga,maana kuna kidem iv kimoja tuuu...kwisha habar.hana ham mpaka cku nyingine.mwenye kujua atujuze..km huyu ana upungufu wa nguvu za kike????

Hawa wanawake ni rahisi kukamata channeli....kama huyo wako ana wasapu uwe unamtumia vipicha vya wallet yako ikiwa imenona tu.

Atakuwa anakuja kila siku. Money money...anaweza kukuabudu kabisa ukiwa una m-please na vinoti vyekundu.

Sent from JamiiForums
 
unachanganya madesa kuna tofauti kati ya wasichana na wanawake.

Wanakojoa kwa kuchutama wote hao, wanaowasababishia wababa kumeza vidoge vya kuongeza nguvu za kiume ndio hao wasichana, wanawake nimewaelezea, wanajua ushindi mtamu ni goli moja la kiufundi ambalo mfungwa hulishangilia, we unafikiri goli alilofunga Okwi wa simba dhidi ya yanga linafurahisha!!!!!!
 
hili swala litangazwe kuwa janga la kitaifa....
njoo tuanzishe NGO ya kudeal na hii ishu kabla haijawa shida. fikiria wakisema meno ya tembo au viungo vya albino vinaongeza nguvu za kiume.
 
unachanganya madesa kuna tofauti kati ya wasichana na wanawake.

Alichokisema jamaa lkn kina ukweli!! Hata kama kachanganya neno wanawake badala ya wasichana!! Nna experience na wasichana!! Ni ngumu sana kumpeleka kilele!! Ila akishazaa, ukimkalia vilivyo ndani ya dk 10 lazma aitikie kwa sauti zisizoeleweka!!
Nilipolijua hilo nikaachana na visichana!! Vinaleta stress tu
 
Back
Top Bottom