Mtake msitake, CHADEMA kuweni makini na Marando

Hivi ni vitisho na ndo maana tunawaona kuwa kuna mapungufu na hamkustahili kupewa hiyo kazi. Maadili mmeyaweka pembeni na kuamua kutumikia wanasiasa wanaowapa kula yenu ya siku.
Masuala yanayohusu uhai wa Taifa mnayapuuzia na kuyaweka pembeni.
Endeleeni kutisha-tisha watu msidhani wote ni waoga
Msanii ni ajabu sana kwa wewe kujiaminisha kuwa unamfahamu fika Marando huku kila unachokiandika kikizidi kukuumbua kuwa hujui chochote kumhusu Mabere Nyaucho Marando. Sijui una bifu gani na huyo mwanamageuzi lakini naomba nikupe ushauri; ni heri ukae kimya kwani hao unaowashauri ukitaka wawe makini na Marando wanamfahamu kuliko unavyofikiria.

Lengo lako hasa silielewi kwa nini hili swala umelivalia njuga lakini ama unatumiwa bila kujitambua au una bifu binafsi naye; kwa hili hutakuwa peke yako, mko wengi ambao jina la Marando linawanyima usingizi. Hata hivyo kama itatokea kwamba umetumwa kuuchanganya uongozi wa Chadema, aliyekutuma hakufanya homework yake vizuri; umeingizwa choo cha kike.
 
Last edited by a moderator:
Nikweli unahoja,yamsingi nadhani cdm wanawafaham watu wanamno hiyo, cyo marando peke yake nawengine wapo.
 
Jamaa kashindwa kutofautisha kati ya kazi binafsi za uwakili wake na kazi za kichama.

Mfano: hakimu wakati anakwenda kazini alimuona mtu anaiba maeneo fulani . Wakati hakimu yuko mahakamani anaendelea na shughuli zake za kimahakama akaletwa mtuhumiwa ambae ni mwizi ambae mh Hakimu kwa macho yake alimuona . Je kama wale walioibiwa/mkamata mwizi hawana maelezo ya kutosha au ushahidi thabiti unadhani hakimu ataamua kumuhukumu kwa kuwa alishuhudia tukio ????
 
Umakini wa CDM ndo umewafikisha hapo walipo, waongeze umakini lakini wasimkatae mtu kwa hoja za juujuu; Ktk umakini ndo maana tunampa big up sana Mbowe na Slaa, na viongozi wenzao.
 
Hivi ni vitisho na ndo maana tunawaona kuwa kuna mapungufu na hamkustahili kupewa hiyo kazi.

Maadili mmeyaweka pembeni na kuamua kutumikia wanasiasa wanaowapa kula yenu ya siku.

Masuala yanayohusu uhai wa Taifa mnayapuuzia na kuyaweka pembeni.

Endeleeni kutisha-tisha watu msidhani wote ni waoga

Msanii,
Nimekusoma vya kutosha wewe na wachangiaji wengine sijakubaliana na wewe zaidi sana nimezidi kuona uzuri na umuhimu wa Marando Chadema.

Pili, kitendo cha Marando kuchokonolewa baada ya kutoa hadharani majina ya wanausalama waliokuwa wanashirikiana na akina Mwigulu kumfanyia Lwakatare Ugaidi inazidi kuniaminisha kwamba hiyo ndo sababu ya kufuatwa fuatwa kwa Marando. Hata hivyo, Hatudanganyiki, labda ulete hoja nyingine. Na huyu mtu ni kifaa ndani ya kamati kuu tena kifaa cha uhakika.
 
Msanii ni ajabu sana kwa wewe kujiaminisha kuwa unamfahamu fika Marando huku kila unachokiandika kikizidi kukuumbua kuwa hujui chochote kumhusu Mabere Nyaucho Marando. Sijui una bifu gani na huyo mwanamageuzi lakini naomba nikupe ushauri; ni heri ukae kimya kwani hao unaowashauri ukitaka wawe makini na Marando wanamfahamu kuliko unavyofikiria.

Lengo lako hasa silielewi kwa nini hili swala umelivalia njuga lakini ama unatumiwa bila kujitambua au una bifu binafsi naye; kwa hili hutakuwa peke yako, mko wengi ambao jina la Marando linawanyima usingizi. Hata hivyo kama itatokea kwamba umetumwa kuuchanganya uongozi wa Chadema, aliyekutuma hakufanya homework yake vizuri; umeingizwa choo cha kike.

Marando kawaumbua kwa vitu vingi sana,
Kagundua ile kifaa cha kutuma sms za uwongo ambayo ilimlenga Mnyika.
Kafumua mkakati wa ugaidi dhidi ya Lwakatare.
Yote haya yalilenga kuisambaratisha chadema. Baada ya kukwama hapa sasa wamebaki kumshambulia tu. Hatudanganyiki Chadema.
 
Msanii ni ajabu sana kwa wewe kujiaminisha kuwa unamfahamu fika Marando huku kila unachokiandika kikizidi kukuumbua kuwa hujui chochote kumhusu Mabere Nyaucho Marando. Sijui una bifu gani na huyo mwanamageuzi lakini naomba nikupe ushauri; ni heri ukae kimya kwani hao unaowashauri ukitaka wawe makini na Marando wanamfahamu kuliko unavyofikiria....
Mkuu naamini unajua ulifanyalo, fahamu kuwa hata mie nafahamu ulifanyalo kupitia hoja yako. Nimeweka hoja kuwa CHADEMA wawe makini na huyo mtu wako. Ni kweli inawezekana simfahamu kiundani maana mimi siyo mtu wa IDARA lakini once a snake, will ever be.
Kucheza smart ni jambo ambalo watu wa idara wanalifahamu vyema hasa wale wanaoamua kutumika kisiasa...

Msanii,
Nimekusoma vya kutosha wewe na wachangiaji wengine sijakubaliana na wewe zaidi sana nimezidi kuona uzuri na umuhimu wa Marando Chadema...Hata hivyo, Hatudanganyiki, labda ulete hoja nyingine. Na huyu mtu ni kifaa ndani ya kamati kuu tena kifaa cha uhakika.
Ni kweli unaweza usidanganyike na siyo nia yangu kudanganya hapa.
Inawezekana kabisa kwa wewe kuwa ktk safu za uongozi CDM ukaamini kuwa mnakimiliki chama hivyo mawazo ya watu wengine kuyaona ni ya kipuuzi. Ila ndivyo waliokulia ndani ya CCM walivyo.

Kuhusu Marando ni kwamba nimepiga mbiu kuwa mtazameni mjihakikishie kama kweli ni msafi kivile ama siye. Sasa badala yake unayaangalia mambo kwa jicho la kisiasa wakati mwenzenu anafanya kazi ya KITAALAM. Kuweni makini maana msije mkajastuka mwishoni kisha mkasema kuwa hatukuonywa awali.

Kakojoe kalale
Ahsante Great Thinker
 
Chadema ni zaidi ya hao watu unaowaona!!!!!!!!!!!!!! Hakifi leo wala kesho, !!!!!!!!!!! , kuna usalama wa taifa wa kutosha ndani ya cdm!!!!!!
 
akiwa usalama wa taifa au hata dunia kimbembe mtakiona 2015 ndo mtatambua kama usalama wa taifa au usalama wa ccm
 
kwani umeambiwa chadema ni mtu mmoja?...pia ukumbuke wengi wa wanasia wakubwa unaowajua nchi hii ni UWT! ,ogopa wanasiasa wote basi,.

hapa umenena mkuu!!!!!nasikia wanasiasa wote wakubwa wa ccm ni UWT.INASEMEKANA NDIO WENYE NCHI NA WAKO JUU YA SHERIA.mwenye kujua ukweli atujuze?inawezekana tatizo la nchi yetu liko hapa.mambo ya nchi hii sijapata kuyasoma kabisa.watu wanaenda kuiba mabilioni benki kuu halafu wanatembea barabarani!!!!!kibaka anaiba kuku analamba miaka.
 
chadema ni zaidi ya hao watu unaowaona!!!!!!!!!!!!!! Hakifi leo wala kesho, !!!!!!!!!!! , kuna usalama wa taifa wa kutosha ndani ya cdm!!!!!!

ni mwanzilishi wa nccr-mageuzi.kauli yake ya kujenga nccr kuwa chama kidogo cha kimkakati iliniacha hoi mpaka leo.alivyoona kimekuwa chama kikubwa akaenda kukiulia tanga.mkuu wa mkoa tanga enzi hizo , alikuwa kubwa lao ,hassy kitine kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.akazawadiwa ubunge wa afrika mashariki.sasa wanacdm wanamwangalia kwa makini na huku nako atafanya nini.?cdm ataifanya kama nccr????
 
Mkuu naamini unajua ulifanyalo, fahamu kuwa hata mie nafahamu ulifanyalo kupitia hoja yako. Nimeweka hoja kuwa CHADEMA wawe makini na huyo mtu wako. Ni kweli inawezekana simfahamu kiundani maana mimi siyo mtu wa IDARA lakini once a snake, will ever be.
Kucheza smart ni jambo ambalo watu wa idara wanalifahamu vyema hasa wale wanaoamua kutumika kisiasa...

Ni kweli unaweza usidanganyike na siyo nia yangu kudanganya hapa.
Inawezekana kabisa kwa wewe kuwa ktk safu za uongozi CDM ukaamini kuwa mnakimiliki chama hivyo mawazo ya watu wengine kuyaona ni ya kipuuzi. Ila ndivyo waliokulia ndani ya CCM walivyo.

Kuhusu Marando ni kwamba nimepiga mbiu kuwa mtazameni mjihakikishie kama kweli ni msafi kivile ama siye. Sasa badala yake unayaangalia mambo kwa jicho la kisiasa wakati mwenzenu anafanya kazi ya KITAALAM. Kuweni makini maana msije mkajastuka mwishoni kisha mkasema kuwa hatukuonywa awali.

Ahsante Great Thinker
he he he he Marando ameamua kuqudi kutetea ndugu zake watz ameachana na ujambazi wa ccm
 
kwa hiyo tufanyeje, kazi anayoifanya ni nzuri na siamini kama kweli katumwa na hawa watafuna nchi kwani kwa kazi yake wanaumbuka.
 
ok wanajf;
Tafuta utofauti kati ya Masumbuko Lamwai, Mabere Marando na Lyatonga Mrema mwaka 2000, kwa upande wa UWT jua kua kuna watu wengi sana walimwamini Mabere wakti anafanya kazi hapo ilikua mwishoni anakaribia kuondoka pale UWT.
Mpaka sasa wanakontact nae kwani Marando nae anawasidia kwenye mambo yanayousu kazi zao pale wanapokwama, kubali au ukatae kuna mengi sana hata rais kIKWETE wala PINDA hajui kuhusu UWT kwa sasa.

Kwanini unayo hofu juu ya MARANDO? kisa asumbuliwi sana na CCM kama wengine?, je ujui kua MARANDO anazo siri nyingi sana kuhusu TISS, IKULU, UWT, MAFISADI, JWT? zaidi ya CCM na serikali wanavyojua mambo ya MARANDO?
Kumbuka kua wale wote wanaomkodi MARANDO kama wakili wanasimulia kila kitu kwa hiyo usihofu sana wao kutomshambulia MARANDO tena.

Kuhusu mawasiliano kati ya MARANDO, CHADEMA, na UWT pamoja na serikali naomba ujue moja tu MARANDO ni independent person, na CDM dependent organ, na serikali pamoja na ccm nao ni dependent organs... kuna Omera wengi sana waliosukiwa mpango na MARANDO wakaingia pale TISS na UWT na sio wajasiliamali kama wengine ndio wanaompa MARANDO vitu vyote.

Kwa kukuakikishia kua MARANDO ni mpiganaji wa kwelikweli na mpenda mageuzi hapa nchini, kata (BUKURA) anakotokea kule RORYA imepata kuongozwa na upinzani tangia vyama vingi viingie nchini kwa sababu ya MARANDO mwenyewe kupandikiza umageuzi.

1995-2000 (DIWANI -SERRE NCCR MAGEUZI)
2000-2005 (DIWANI CHARLES OMBELE ASENO NCCR MAGEUZI)
2005-2010 (DIWANI SADIKI KIMBAWA NCCR MAGEUZI)
2010- (DIWANI SADIKI KIMBWAWA CHADEMA)

Kata zote zinazopakana na alikozaliwa MARANDO zote kwa 95% zinataliwa na upinzani na ni kwa hisani ya MARANDO,au unataka kutuaminisha ya kua watu wanao mwona MARANDO kama mpenda mageuzi nchini hawajui nyuma ya shulingi kuhusu MARANDO?
Source, mie naishi na MARANDO KWAKE KAMA MTOTO WAKE (BER URU AINYA JOPINY).
 
Mkuu achana nao hao sisi CDM tunamwamini MARANDO. Ni jembe ambalo lilikuwa halijapata mkulima sahihi kwa shamba sahihi!
 
ni mwanzilishi wa nccr-mageuzi.kauli yake ya kujenga nccr kuwa chama kidogo cha kimkakati iliniacha hoi mpaka leo.alivyoona kimekuwa chama kikubwa akaenda kukiulia tanga.mkuu wa mkoa tanga enzi hizo , alikuwa kubwa lao ,hassy kitine kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.akazawadiwa ubunge wa afrika mashariki.sasa wanacdm wanamwangalia kwa makini na huku nako atafanya nini.?cdm ataifanya kama nccr????

Point of correction: Aliyeiua nccr mageuzi ni AL Mrema!
 
Back
Top Bottom