Mtake msitake, CHADEMA kuweni makini na Marando

hata hakisaliti chama, hawezi tenganisha wananchi walio nyuma ya cdm, ila asante ujumbe umefika.
 
Wakati anahamia CHADEMA kutoka chama kingine cha siasa, niliweka maoni yangu wazi kwamba SIJAWAHI kumuamini na anapaswa kuogopwa katika siasa za vyama.

Anguko la Mrema na NCCR-Mageuzi ilikuwa ni sehemu ya kazi yake,
Kinacholeta ukakasi ni kwamba, wanasiasa wote waliotoka CCM kwa minajili ya kutoa upinzani wa dhati waliishia kutiwa misukosuko na hata kufilisiwa na hatimaye kulazimishwa kufa kisiasa na kurejea CCM. Pia ikumbukwe kwamba Tangu aibukie upinzani, Mwanasiasa huyu hajawahi kupata misukosuko na kizuri zaidi anafanikiwa sana ktk nyanja zote kimaisha.

Turudi kwenye random info
Alijitetea kwenye majukwaa ya siasa kwamba kuwatetea kwake mafisadi wa EPA mahakamani hakuhusiani na siasa za chama chake ktk kupambana na ufisadi, Na akasema yeye ni kama daktari hivyo hakatai mgonjwa. Ikumbukwe kwamba kesi za Mahakama kuu pekee ndizo ambazo WAKILI hana hiyari endapo atapangiwa kumtetea mtuhumiwa wa Jamhuri, Lakini kwenye mahakama za chini hakuna ULAZIMA wa wakili kusimama na kumkingia kifua public enemy ambaye yeye anahusika na presha zilizosukuma dola kuchukua hatua dhidi ya mtuhumiwa.

Twende sasa, majuzi hapa alifanya kosa ambalo mtu wa kawaida hajuzu kufanya, yaani kureveal majina ya UwT ambao wanatuhumiwa kufanikisha deal la Lwakatare, na serikali ikatishia kuchukua hatua na mpaka sasa hakuna lililotokea.

Siri nyingi za CCM na serikali yake zinavuja kwa mpangilio maalum, na ikumbukwe kwamba hata Dr. Slaa alishawahi kukiri kuwa sehemu kubwa ya UWT wanapeleka taarifa kwake, lakini kiuhalisia ni kwamba huyu bwana yupo nyuma ya haya yote. Na hata mipango mingi ya CHADEMA yenye manufaa kwa taifa imekuwa inavuja kwa CCM ambapo wanaidaka hoja hewani na kujimilikisha ili kupata reputation mbele ya jamii.

Nikiongelea tukio la hivi majuzi la kifo cha kutatanisha cha afisa UWT ambapo in connection kifo cha Imran Kombe kinahusika ktk utata huo pia, ni wazi kwamba kuna ujumbe mahususi [kwa mujibu wa watoa maoni] unatumwa kwa wanaovujisha siri MFU za serikali, hasa zile zinazohusu namna taifa linavyotafunwa kisawasawa na watu wachache. Ninapata nguvu ya kuamini kwamba huyu bwana yupo behind all these, yaani to unmask Romans.

Simsemi mwingine bali Mabere Marando. Ni hatari kwa afya ya siasa za vyama vingi.

NIMESEMA

analysis zako zimenionyesha unamapungufu ya shule,ama uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana.anyay keep this comments to yourself.
 
Tumwamini MUNGU asiyeonekana halafu tusimwamini MABERE ANAYEONEKANA?
 
Kwa sababu wewe ni msanii basi inatosha kuhitimisha kuwa hata hii thread labda ni sehemu ya kazi za kisanii.

Nimejaribu kusoma baadhi ya paragarafu ya andiko lako lakini nimeambua sifuri.

Ebu fafanua Marando anahusika vipi na hapo chini?

Kama ni kweli maneno haya basi Mabere marando aikumbuke kanuni hii,in any action thhere is an egual and opposite raction!!!Upinzania hautakufa kwa namna hii.
 
Umetumia Logic gani ku analyse logic yako kushawishi watu?,.
Inductive au deductive logic?.
Kwa maana kote haupo.
Sioni wala sijashawishika.
Acha ku commit FALACY
 
Hoja yako haijajitosheleza , ulitakiwa kuongeza Uzito tena siyo Kidogo ! Ili angalau sisi wenye Darubini tuipeleke Maabara , vinginevyo ni kama yaleyale ! bali nikutoe Mashaka kwamba , kwenye CCM hii hakuna mwenye uwezo wa ' KUMUAJIRI ' Marando ! Hata kwa gharama ya BOT yote ! Tunamwamini na tumempa KANDA YA PWANI ili ashughulike nayo , Subiri Matokeo .
 
Kwa sababu wewe ni msanii basi inatosha kuhitimisha kuwa hata hii thread labda ni sehemu ya kazi za kisanii.

Nimejaribu kusoma baadhi ya paragarafu ya andiko lako lakini nimeambua sifuri.

Ebu fafanua Marando anahusika vipi na hapo chini?

Pia alitakiwa kueleza Uhusika wa huyo Marehemu wa TISS kwenye siasa za CHADEMA .
 
Nasikia Marando na Mrema walikuwa wote wanafanya kazi moja hapo zamani.
 
Hoja yako haijajitosheleza , ulitakiwa kuongeza Uzito tena siyo Kidogo ! Ili angalau sisi wenye Darubini tuipeleke Maabara , vinginevyo ni kama yaleyale ! bali nikutoe Mashaka kwamba , kwenye CCM hii hakuna mwenye uwezo wa ' KUMUAJIRI ' Marando ! Hata kwa gharama ya BOT yote ! Tunamwamini na tumempa KANDA YA PWANI ili ashughulike nayo , Subiri Matokeo .

Kama mleta uzi anadhani Mabere ndo aliua NCCR alimwulize Lyatonga Mrema. Wewe una huruma gani kwa CDM? Unataka tu kuleta mtafaruku ndani yao. Mbona madaktari wanawatibu maliberali bila kuwanyayapaa? Acha hizo.:shetani:
 
...hv ni Kenya wanaume lazima watahiriwe .... Tz lazima sasa katiba mpya ijayo iseme wazi LAZIMA KUTAHIRI WANAUME.... mtoa mada JF will board u to Kenya... then u will grow ...
 
Mkuu msanii, naona unatafuta pa kutokea...................." ntoke vipi "
Yaani umekuwa na imani haba juu ya kamanda Marando kwa sababu tu hasumbuliwi na maCCM. Mkuu hoja yako haijatulia hata kidogo, kwa mtizamo huu sitashangaa kusikia umechomoka na single nyingine inayo mhusisha Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa kamanda wa anga Freeman Mbowe kutumiwa na magambaz kuisambaratisha CHADEMA kwa sababu tu biashara zake zinaenda vizuri bila usumbufu wa magambaz.
 
analysis zako zimenionyesha unamapungufu ya shule,ama uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana.anyay keep this comments to yourself.

Mkuu tunaomba analysis mbadala, plse! Kwa mfano, kwa nini huyu Marando hatiwi misukosuko na CCM kama wengine kwa kutaja hadharani majina wa watumishi wa Usalama wa Taifa ambapo ni kosa la jinai? Ingekuwa ni Lema sijui kama angepona (just a gesture, anyway!)
 
Nyoka ni nyoka haiwezi kubadili ngozi yake hata siku moja. Mfukuzeni mapema.
 
Mkuu tunaomba analysis mbadala, plse! Kwa mfano, kwa nini huyu Marando hatiwi misukosuko na CCM kama wengine kwa kutaja hadharani majina wa watumishi wa Usalama wa Taifa ambapo ni kosa la jinai? Ingekuwa ni Lema sijui kama angepona (just a gesture, anyway!)
Nini maofisa Usalama, Dr Slaa kataja orodha mafisadi na namba moja ni Jakaya Kikwete je wamemfanya nini? hapa unataka kutupa justification kwamva Dr Slaa bado ana kadi ya CCM na ni kibalaka wa CCM?

Je una ufahamu wowote kuhusu idara ya Usalama wa Taifa? Mizengo Pinda na Bernard Membe wote walikuwa usalama wa Taifa mbona wao wako huru kufanya siasa tatizo liwe kwa Marando? sioni logic yenu, nayafahamu mengi ila siwezi kusema kila kitu hapa.
 
shit HATUTAKI SIASA ZA MAGAZETINI HUMU NA UELEWA WAKO MDOGO.
 
Back
Top Bottom