Mtaka ameanza visababu kabla bado

Mtaka ameanza visababu kabla bado

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Anthony Mtaka ameanza mapema kile ambacho watoto wa mbwa tunaita 'chomoa nijambe.' Anasema kuwa Watanzania tusitarajie makubwa huko Glasgow kwani timu za mataifa mengine zimefanya maandalizi ya muda mrefu kuliko sisi.

Kama alifahamu kuwa hakuna muujiza wa kutufanya tushinde medali yoyote katika michuano ya Jumuia ya Madola kwanini walirithia hela ya Serikali itumike kwa maandalizi ambayo wanajua yasingetusogeza popote?

Naona mantiki ya wao na Nyambui kupeleka majina hewa katika ziara ya maandalizi huko New Zealand.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom