Mtaji wa mwisho mwisho wa Ccm ktk picha

Mtaji wa mwisho mwisho wa Ccm ktk picha

Ni kweli kamanda ndicho kinachowaumiza kichwa mpaka wamemnunua Zitto hili awanusuru

na huyo zzk yani ndio anaisha kisiasa hivyo, kweli kabisa unakubali kurubuniwa wakati ukijua ukombozi mliouanzisha uliwagharimu sana watu, wengi wamekufa wengine wamefungwa na kubambizikiwa kesi, kweli binadamu nihatari na lazima historia itamhukumu
 
Nawaangalia tu m.bwa mnavyopeana moyo kuwa ipo siku mtakuja kuwa wamiliki wa nyumba na mwenye nyumba akawa mlinzi wenu......!!!
 
Nafikiria pakiwekwa ukomo wa umri wa watu kupiga kura ingekuwa kasheshe kwa watu fulani.
sawa kanisa Mkuu maana hawa watoto wanaomaliza Sekondari hawajui kusoma na kuandika Historia ya Nchi yetu wataielewa wapi?
wao ni kuandamana tu kuingia Ikulu, ni vizuri tufanye km ile ya kugombea Urais ni umri wa kupiga kura

attachment.php
 
Back
Top Bottom