Huku tunakoelekea kofia kanga na viroba vitakua havina thamaniMtaji wa mwisho mwisho wa Ccm kizazi hiki akuna tena mtu wa kupewa kanga na kilemba
Tehtehtehtehteteh
Mtaji wa mwisho mwisho wa Ccm kizazi hiki akuna tena mtu wa kupewa kanga na kilemba
Huku tunakoelekea kofia kanga na viroba vitakua havina thamani
Ni kweli kamanda ndicho kinachowaumiza kichwa mpaka wamemnunua Zitto hili awanusuruHicho ndicho wanajiuliza mara mbili waboreshe daftari la wapiga kura au laa, wana hali mbaya kuliko tunavyofikiri
Tutawahukumu kwenye boksi la kura ww tulia kamandaOperation tokomeza magamba wezi wakubwa wa mali ya mtanzania yaani inaniuma we ngoja....
Mgonjwa yuko icu siku zinahesabika
Mtaji wa mwisho mwisho wa Ccm kizazi hiki akuna tena mtu wa kupewa kanga na kilemba
Mtaji wa MACCM ni ujinga na umasikini mwisho umefikaHuku tunakoelekea kofia kanga na viroba vitakua havina thamani
Haya bana mkubwa wamewafanya watz mambululaMkuu usihitimishe kuwa hakuna tena wa kupewa kanga na kilemba? Bado wapo wachache tena sio wazee kama hao.
View attachment 132382
Really manTutawahukumu kwenye boksi la kura ww tulia kamanda
Waandikishe waende chinaHakika mwisho umefika ndio maana awataki kuandikisha daftari jipya la wapiga kura maa siku ya hukumu imefika
Mtaji wa mwisho mwisho wa Ccm kizazi hiki akuna tena mtu wa kupewa kanga na
kilemba


Tutawahukumu kwenye boksi la kura ww tulia kamanda