Naomba ushauri.....kwa sasa mimi ni mwajiriwa ila niliwahi soma veta fani ICT . ila nataka kufungua ofis yangu ya ufundi computer, ufundi simu na kuuza accessories mbali mbali za mambo hayoo..naomba kujua mtaji unaweza kuwa bei gani na vifaaa vipi nahitaaji hasa upande wa ufundi simu.