Mtaji Umekata!

Mtaji Umekata!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,731
Cjui naanzia wapi tena kurudi kwenye reli baada ya mtaji kukata!
Ushauri tafadhali maana naona hapa nimeishiwa mawazo...
 
ulikuwa unafanya biashara gani?ulikuwa unashirikia na watu gani kwa maana ya jinsia na dini zao?
 
Cjui naanzia wapi tena kurudi kwenye reli baada ya mtaji kukata!
Ushauri tafadhali maana naona hapa nimeishiwa mawazo...

We si ndio ulikuwa umetoa tathmini ya Magorofa kwa utafiti wako
Sasa inakuwaje uishiwe mawazo wakati kwenye kutumia pesa mawazo yalikuwepo?

Hembu fanya vise versa vile,kutoka kwenye kuishiwa mawazo kuja kwenye kujua chanzo.
 
Yaani katika post zote mlizomtumia huyu bwana aliyetaka msaada wa mawazo hakuna hata moja yenye kumsaidia kweli WaBongo tutafika inakuwa kama hatuko serious au JF kijiwe cha masihara...? Mi nilidhani ni sehemu watu wanapoweza kubadirishana mawazo in a serious way. Mkuu vumilia utapata mawazo ya kukusaidia.
 
Mkuu em jaribu kuangalia jinsi mleta uzi alivyoandika uzi wake, hivi kwa maelezo yale wewe unaweza kutoa ushauri gani... Ushauri hapo ni kumpa pole na kumwambia avumilie, angetoa maelezo sahihi ungeona watu wanamshauri accordingly... Em jaribu kkumshauri wewe tuone utasemaje kwa maelezo yake
 
Geofrey we unaona approach yako ni ina maana ya kuumuliza maelezo Zaidi ili uweze kumsaidia sio kumletea mzaha bila kujua kama ni mzaha au kweli anahitaji mawazo
 
Ila kaka Kokola mimi sijafanya mzaha, nimetoa pole hlf nkamwambia ajikaze avumilie ni stage ya maisha, sidhani kama huo ni mzaha mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom