Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Kula 5 mkuuKuna majitu ya CCM yana roho mbaya sana.
Barbosa anaongoza, Kipara Kipya, Jingalao, Yehodova, mleta mada na wenzao wote wanaolipwa kuja kutetea upuuzi wa CCM humu.
Kula 5 mkuuKuna majitu ya CCM yana roho mbaya sana.
Barbosa anaongoza, Kipara Kipya, Jingalao, Yehodova, mleta mada na wenzao wote wanaolipwa kuja kutetea upuuzi wa CCM humu.
HahahahahahaNawachukia man city
Mimi nina bifu na wewe. Tabia yako ya kuondoka kila mara kwa kisingizio eti unakwenda kuchaji simu katika ule uzi wetu huwa inanikera sanaNasisi tusio kua na mabifu humu JF tunacomment wapi??
Kama ulivyodai, ni matunda pia.
Gaidi kwa mmoja ni mpigania uhuru kwa mwengine.
Nelson Mandela alihukumiwa kifungo cha maisha na akatumikia miaka 27 kwa ugaidi. Umesahau?
Unaamini kuwa Mandela alistahiki hukumu hiyo ya ugaidi?
Hahahahah aiseee me nainjoy tuNdege John kwanini tusitafutane tupigane maana nina chuki zaidi kwako.
Nikweli bhna me kuna mjitu humu siiipendi dah ilinifanya nitoweke jf miezi 3 uwezi amn ila sasa nimerudi nikiona limtu linakojoa kwenye post zangu me naenda kwake nakunya tena sio kawaida naalisha tena style ya bata niakikishe yanamfikia adi usoni mafala kweli nikiyataja hapa yatajilekebisha nayasubiri yalopoteKuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.
zamu ya waliorogwa kumtetea mrogajiUkimchukia mshana we utakua mwanga mshana mtu wa watu kwanza popote alipo agiza kitoko mshana nakuja kulipia
Kuna mdada yupo humu ananichukia sijui kama bado yupo na chuki.
Ila kwa Id yake maarufu naona anasema hawachukii watu???
Kwa taarifa zako nakutongoza kwa Id nyingine na upo kibla.
namchukia bbade wangu sababu Nampenda sana siwezi kumuacha.
Tuliza mpapa mama wewezamu ya waliorogwa kumtetea mrogaji
Hahaha sasa apo Kama Ni bifu weka na simu co Mimi.... Ye simu Ndio mkorofi anazimika chaji kila mdaMimi nina bifu na wewe. Tabia yako ya kuondoka kila mara kwa kisingizio eti unakwenda kuchaji simu katika ule uzi wetu huwa inanikera sana