Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF

Kuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.
Nikweli bhna me kuna mjitu humu siiipendi dah ilinifanya nitoweke jf miezi 3 uwezi amn ila sasa nimerudi nikiona limtu linakojoa kwenye post zangu me naenda kwake nakunya tena sio kawaida naalisha tena style ya bata niakikishe yanamfikia adi usoni mafala kweli nikiyataja hapa yatajilekebisha nayasubiri yalopote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom