Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,340
- 103,868
Ngoja atupe historia kwanza.Hakuna jipya chini ya jua.Hili la hakuwahi kufungwa umetupanga, hakuna kipa ambaye hakuwahi kufungwa.
Ngoja atupe historia kwanza.Hakuna jipya chini ya jua.Hili la hakuwahi kufungwa umetupanga, hakuna kipa ambaye hakuwahi kufungwa.
Umemaliza kila kitu uzi ufungwe.View attachment 3059726
Hii mashine kwenye list of goalkeeper 🥅 of all the time hawezi kumkosa kwenye orodha
Kama unamjua tuambie hapa ni nani aliyemfunga Masajjage. Hata Joe Kadenge mwenyewe aliwahi kukiri kuwa Masajjage alishindikana; inawezekana pia humjui KadengeHili la hakuwahi kufungwa umetupanga, hakuna kipa ambaye hakuwahi kufungwa.
Ingekuwa enzi za zamani uongo wako ungepata nafasi ila saivi teknolojia ya habari imekuwa.Kama unamjua tuambie hapa ni nani aliyemfunga Masajjage. Hata Joe Kadenge mwenyewe aliwahi kukiri kuwa Masajjage alishindikana; inawezekana pia humjui Kadenge
Guillermo Ochoa alitisha sana WC2014 pale Brazil.Aishi Manila,ochoa
Itakuwa alicheza mechi moja tuu
Mnajifaragua tu kea Tanzania hakuna kama Jigui DiaraSijui hanaga bahati ya kuchezea timu kubwa ila WC hua anatisha kinoma
Ingekuwa enzi za zamani uongo wako ungepata nafasi ila saivi teknolojia ya habari imekuwa.
![]()
Express vs Simba: who was who in infamous 1977 game? - The Observer Media Ltd
footballwww.observer.ug
Naamm Pita ShumaikahView attachment 3059726
Hii mashine kwenye list of goalkeeper 🥅 of all the time hawezi kumkosa kwenye orodha
Mkuu wewe Ni soo , yaan picha TU 😊 😅Naamm Pita Shumaikah