KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,182
- 56,770
Ati cassianna wakati nyambiti mang'oma nyafulu ndumbu. Utakasirisha mizimu ya kwenu bure😂🤣🤣🤣🤣🤣
Ati cassianna wakati nyambiti mang'oma nyafulu ndumbu. Utakasirisha mizimu ya kwenu bure😂🤣🤣🤣🤣🤣
Nawewe ndo wajiita linah wakati chausiku ndembelekelo mwambwiso dudu..😅 hebu kuweni serious kidogo..Muache ataota mkia
Okay Linambunya si ndo wewe.?Me ni linah sijafoji bwan
Angalia miandiko kwnz usianze kuita mtu bibie kwa kuangalia jinaNilipokuwa mdogo nilibatizwa Linus so nipo hapa bibie
Anaitwa linah baby au beibe angalia hapo juu mkuu na Mimi ni pacha wake Linus namkaribisha piemu
Mtafute kichwa kisafi.Kwa kweli sina wa kumtafuta!