Mtafutaji hachoki

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
678
Reaction score
308
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo.

Mimi nilikua muajiriwa kwenye sekta binafsi lakini tukawekwa pembeni baada ya ofisi kufilisika, nikafanya biashara nazo hazikuzaa matunda, kwasasa nimegeukia udereva hivyo bado natafuta gari ya mkataba, iwe IST, Vitz, Passo n.k kwaajili ya uber, pia nina leseni inayoruhusu kubeba abiria na nina account za uber na bolt zilizo active. Mawasiliano yangu ni 0688066177.

Ahsanteni.
 
Ulishapata?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…