Mtaani kwako kuna soda

Mtaani kwako kuna soda

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,812
Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana

Wewe mtaani kwako zipo?

USSR
 
Mimi tarehe tatu ivi nilitafuta Sana ila nikafanikiwa kupata coke na sprite
 
Soda zilianza kuadimika tangu tarehe 24 December ilikuwa ni mwendo wa mirinda, sprite na cocacola kwa wingi.
 
Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana

Wewe mtaani kwako zipo?

USSR
Ki ukweli kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa soda, sasa sijui tatizo ni nini?!au kuna mabadiriko ya bei mpya inakuja?
 
Nalitafuta pepsi ndogo wiki kama moja hivi ila jana nikafanikiwa kupata.
 
Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana

Wewe mtaani kwako zipo?

USSR
Video ileeee....
 
Wape taarifa Pepsi, mimba yangu ikitoka nitawafungulia mashtaka, sio kwa mateso haya
 
Back
Top Bottom