Mtaalamu wa milipuko wa Alqaeda akamatwa

Mtaalamu wa milipuko wa Alqaeda akamatwa

rmb

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
223
Reaction score
7
Wakuu kuna taarifa kwamba yule mtaalamu wa milipuko wa alqaeda na anayehusishwa na milipuko iliyotokea katika balozi za Marekani, Dar na Nairobi amekamatwa. Amekamatwa uwanja wa ndege Cairo akiwa anatokea Pakistani

Source: Aljazeera
 
mwache akamatwe tu ..tena aletwe hapa ashtakiwe mahakama ya mwanzo kawe kwa kosa la kutengeneza milipuko
 
Back
Top Bottom