theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,642
- Thread starter
-
- #421
Sina uhakika sana wa bei maana dawa za mifugo awamu hii zimepanda sana, ila nahisi itakuwa kwenye 65,000 kwa chupa ya 50ml.asante sana. Looks this dawa is very expensive. How much does it cost in dar? Naweza kumchoma leo dose moja, then ingine nikatafuta ya bei nafuu Dar. I am in Tanga
300 x 5= 1500/120= 12.5 mls needed. Each meal is 2500 Tsh! .....12.5 x 2500= 31,250 Tsh. Vial nzima ya 50 mls is 75,000 Tsh
Najaribu kukuandikia kwenye private msg lakini system inagoma inataka niongeze (recipients 2). jaribu kuni- pmUnapatikana wapi mkuu? Huduma ipo hiyo tutafanye kubadilishana mawazo then tupange siku ya kuja kumfanyia Ovariohysterectomy (OH) paka wako.
Ahsante.
Mkuu naomba nisaidie ratio ya mchanganyiko wa lucerna katika chakula inakuwaje!,kama kuna formula nitashkuru kama utanisaidia,pia naulizia kama naweza kuchanganya lucerna na azolla kwa mara moja?Habari, kwa swali lako Majani ya Lucerne ndio hutumika kama moja wapo wa vichanganyo katika chakula cha nguruwe hasa kutengeneza chakula cha GROWERS na FINISHER.
Zifuatazo, ni sababu za kwanini lucerna hutumika kama moja wapo ya vichanganyo katika chakula cha Nguruwe.
(1) Majani hayo huwa na kiwango kikubwa cha protein ambacho ni kati ya 20-22% na katika chakula cha kukuzia nguruwe huitaji kiwango cha protein 18% na katika kumalizia au fattening huitaji kiwango cha protein 14%, kwa maana hivyo waweza ona ni kwa kiwango gani majani hayo yalivyo na umuhimu katika kujenga mwili wa nguruwe.
(2) Majani hayo yana kiwango kikubwa cha madini na vitamini na kama ikitokea yakavunywa mapema huwa na kiwango kizuri pia cha nishati na fibres. Ambazo ni muhimu sana katika ujenzi wa mwili wa nguruwe.
Zingatia; Kipimo cha lucerna katika mchanganyiko hutegemea na malighafi ulizonazo.
Hapa mkuu, ni kuhusu kuku wangu, kesho wananipiga wiki tatu so naweza wapatia Ile vitamins ulioniambia sio?Sina uhakika sana wa bei maana dawa za mifugo awamu hii zimepanda sana, ila nahisi itakuwa kwenye 65,000 kwa chupa ya 50ml.
Pia inawezekana, ila kama inawezekana waweza mpa OTC 20% plus multivitamins hakikisha dawa ya OTC ni kutoka kampuni ya Norbook or Laprovet ndio effficacy inakuwa juu.
Ni sawa kabisa mkuu, unaweza wapatia unaweza ukakoroga kwenye maji au ukachanganya kwenye chakulaHapa mkuu, ni kuhusu kuku wangu, kesho wananipiga wiki tatu so naweza wapatia Ile vitamins ulioniambia sio?
Sasa kwenye maji si na weka Ile vitamins yao nyingine, ntaweka kwenye chakula chao tuNi sawa kabisa mkuu, unaweza wapatia unaweza ukakoroga kwenye maji au ukachanganya kwenye chakula
Mkuu vifaranga unaweza kuvilea kwa kutumia;Naomba kuuliza kwamba kuku wakishatotoa unawanyan'ganya vofaranga so hivyo vifaranga unatumia joto gani kuvilea
Mkuu kwa gharama ya gesi bruda zinatofoutiana mara nyingi ya kawaida ni kuanzia milioni moja na kuendelea mara nyingi gesi bruda hutumiwa na wale wajasiliamali wakubwa au makampuni maana ni gharama kiasi mtungi wa gesi wa kilo 100 unaisha ndani ya siku 3 hadi 4 mkuu.Ahsante sana Dr na hii njia ya tatu amvayo ni gesi garama ipoje
Iko vizuri, ila hakikisha kimo kiwe 50 Cm kutoka juu ya bruda mkuu.Mtalamu vp hiz infred bulb solar ya wat 100 na batry ya N70 inaweza himili?
Habar mkuu,nauliza kuhusu uduvi unaopatka kwenye dagaa,je unaweza kufaa kama chakula Cha kuku na vifaranga? Maana Kuna baadhi ya watu wanadai husababisha magonjwa kwa kuu na hasa vifaranga nao huvimba kichwa na kufa,naomba ufafanuzi juu ya hili,na kama s kwel ni matumiz yap sahh ya uduvi hufaa kwa kulisha kukuHabari Wakuu....
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo
Ndio zipoHabari me no mgeni humu ila katika maisha yangu Nina ndoto ya kufuga kuku wa kienyeji pamoja na bata vp kuna hatua zozote nazopaswa kuzichukua ili kuepukana na changamoto mbalimbali