Baringongo
Member
- Dec 12, 2016
- 96
- 88
Habari wakuu.
Ninatafuta mtu aliesomea mambo ya mifugo ngazi ya cheti chuo chochote kilichosajiliwa hapa Tanzania. Mtaalamu huyu atafanya kazi ya dispensing katika duka la mifugo hapa Mbeya!! Aliye nasifa anipe tuwasiliane.
Asanteni.