Mtaalamu wa Masuala ya Uzinduzi Mzigoni

Mtaalamu wa Masuala ya Uzinduzi Mzigoni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Daraja_2,,.JPG
MICHUZI

Niliwahi kuuliza humu jamvini majukumu hasa ya huyu Mkuu,

Ningeomba mwenye picha zaidi atundike hapa.............ili mwisho wa siku tukampime ni matukio mangapi alizindua katika umakamuzi wake........
 
Kutembea tembea maana magogo nini naona kazi zao ni kupoteza fedha za nchi kwa uzinduzi ambao ungeweza fanywa na mkuu wa mkoa/wilaya. Lakini kazi yake kubwa ni kuposhoka.
 
majukumu yake!? ...............ni kunyoosha mikono kama anavyofanya hapo kwenye attachment
 
Majukumu ni kuendeleza ufisadi kupitia posho.
 
huyu jamaa anatumia mahela yetu mengi tu....kila anapokwenda anakuwa na wake zake woote...jamaa hana analofanya kiukweli n i just a figure tu.....ndio haya haya ya wakuu wa mikoa na wilaya wapo lakini jk huyoooo kwena kufungua vidaraja vya mbao
 
India walikuwa na Raisi mwenye qualifications kama hizo na ameibadilisha India kuwa Super Power. Kuna kuwa na qualifications na kuzitumia qualifications Sasa Fanya utambuzi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom