KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
Napenda kuwasalimu wana JF,
Nachukua fursa hii kuwatangazia wataalamu wa kujenga mabanda ya kuku. Ujenzi kimsingi unatajiwa kuanza rasmi tarehe 1 Septemba 2016 maeneo ya Tengeru Arusha. Hivyo kipaumbele ni kwa wataalamu waliopo maeneo ya Arusha na maeneo ya jirani. Mabanda hayo yatakuwa matatu yenye vipimo vifuatavyo, Urefu ni mita 50 na upana ni mita 10. Ujenzi utakuwa wa awamu hivyo kila awamu moja ni banda moja. Ramani na BOQ ziko tayari, lakini itakuwa ni vizuri mtaalamu aje na ramani yake pamoja na BOQ ili kuweza kupata mabanda yaliyo bora kulingana na thamani ya pesa (Value for money).
Nawasilisha