Mtaalamu wa kilimo;uliza ujibiwe.

Nahitaji msaada kidogo kuhusu kilimo cha mpunga, aina ya mbegu, upandaji, usimamizi mpaka uvunaji pamoja na gharama yake kwa heka. Hata kama utasuggest machapisho, video au vyanzo vingine navyoweza kupata taarifa hizi utakuwa msaada mkubwa
upo wilaya gani? tuanzie hapo.
 
Atumie confidor WG from bayer life science
 
Chokaa nmejaribu vya kutosha hamna kitu nimepiga madawa mengi na hio ivory 72 ivory 80 lakini tatizo lile lile linaendelea hakuna dawa ambayo inatibu ardhi?
 
Mkuu nataka kulima maharage ni maharage ni aina gani yanafaa kwa biashara?
 
Mimi ni muwekezaji mdogo natafuta wakulima ambao tutafanya nao ubia, mimi natoa cash na business planning. Yeye ana manage plantation. Base on return tunagawana in agreeable terms.
 
Mimi ni muwekezaji mdogo natafuta wakulima ambao tutafanya nao ubia, mimi natoa cash na business planning. Yeye ana manage plantation. Base on return tunagawana in agreeable terms.
mimi nina watu waaminifu,wachapakazi na wenye uwezo wa kusisimamia na wenye utaalamu kama upo tayari ni pm.
 
eka moja ya mahindi katika wilaya ya kilosa inaweka kutoa magunia mangapi kwa kiasi cha chini kabisa ikitoka ikatunzwa vizuri na mbegu nzuri?
kama utatunza vizuri unaweza kupata zaidi ya gunia 15 yenye ujazo wa debe 6(standard),na kama upo kilosa unaweza ukaenda hapo ILONGA Research institute ili kupata mbegu zisizo chakachuliwa.
 
kilimo cha michikichi kinakubali katika mikoa ipi hapa Tanzania? unautaalam wa business plan za mazao ya biashara?
 
Ni njia ipi nzuri ya kupandikiza miche ya vitunguu, kumwagia maji vijaruba kisha kupandikiza au kupandikiza ndo kumwagilia maji?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…