Ricecooker
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 501
- 896
Je wewe umeshawahi kulima?Kama ndio,umefanikiwa kiasi gani?
upo wilaya gani? tuanzie hapo.Nahitaji msaada kidogo kuhusu kilimo cha mpunga, aina ya mbegu, upandaji, usimamizi mpaka uvunaji pamoja na gharama yake kwa heka. Hata kama utasuggest machapisho, video au vyanzo vingine navyoweza kupata taarifa hizi utakuwa msaada mkubwa
Atumie confidor WG from bayer life scienceugonjwa wa mnyauko wa nyanya huweza kusababishwa na wadudu wengi sana na mmoja wao hujulikana kama Ralstonia solanacearum ambao kibongo bongo wamekuwa ni tatizo kubwa sana kuwaangamiza lakini njia zifuatazo huweza kupunguza kama si kumaliza kabisa tatizo la mnyauko wa nyanya.
Kwa kutumia bleaching powders ambao huwa ni mchanganyiko wa soil disinfectants na chokaa ambayo huweza kutumika kwa kiasi cha kilo 30 kwa hekta na huwa mbolea kwa namna moja na kiua vinyaushi kwa upande mwengine.
lakini muda mwingine mnyauko huweza kusababishwa na fungi/kuvu waitwao Phytophthora infestans hawa huweza kuuliwa kwa kutumia dawa kama ivory72,success n.k.
asante
Mvomeroupo wilaya gani? tuanzie hapo.
Chokaa nmejaribu vya kutosha hamna kitu nimepiga madawa mengi na hio ivory 72 ivory 80 lakini tatizo lile lile linaendelea hakuna dawa ambayo inatibu ardhi?ugonjwa wa mnyauko wa nyanya huweza kusababishwa na wadudu wengi sana na mmoja wao hujulikana kama Ralstonia solanacearum ambao kibongo bongo wamekuwa ni tatizo kubwa sana kuwaangamiza lakini njia zifuatazo huweza kupunguza kama si kumaliza kabisa tatizo la mnyauko wa nyanya.
Kwa kutumia bleaching powders ambao huwa ni mchanganyiko wa soil disinfectants na chokaa ambayo huweza kutumika kwa kiasi cha kilo 30 kwa hekta na huwa mbolea kwa namna moja na kiua vinyaushi kwa upande mwengine.
lakini muda mwingine mnyauko huweza kusababishwa na fungi/kuvu waitwao Phytophthora infestans hawa huweza kuuliwa kwa kutumia dawa kama ivory72,success n.k.
asante
mimi nina watu waaminifu,wachapakazi na wenye uwezo wa kusisimamia na wenye utaalamu kama upo tayari ni pm.Mimi ni muwekezaji mdogo natafuta wakulima ambao tutafanya nao ubia, mimi natoa cash na business planning. Yeye ana manage plantation. Base on return tunagawana in agreeable terms.
nataka kufanya kazi na mkulima direct, sio mtu wa kati. Sababu itakuwa ngumu kujenga solid partnership.mimi nina watu waaminifu,wachapakazi na wenye uwezo wa kusisimamia na wenye utaalamu kama upo tayari ni pm.
kama una swali lolote juu ya masuala yahusuyo kilimo,tafadhali uliza.
maharage yaliyo kwenye chati sasa ni ya mbeya (soya fupi) kwa maeneo mengi ya Tanzania.Mkuu nataka kulima maharage ni maharage ni aina gani yanafaa kwa biashara?
kama utatunza vizuri unaweza kupata zaidi ya gunia 15 yenye ujazo wa debe 6(standard),na kama upo kilosa unaweza ukaenda hapo ILONGA Research institute ili kupata mbegu zisizo chakachuliwa.eka moja ya mahindi katika wilaya ya kilosa inaweka kutoa magunia mangapi kwa kiasi cha chini kabisa ikitoka ikatunzwa vizuri na mbegu nzuri?
Si kulima tu bali pia na mtaalamu mbobevu katika kilimo.Je wewe umeshawahi kulima?Kama ndio,umefanikiwa kiasi gani?
Hivi yale kablanket manene vipi???maharage yaliyo kwenye chati sasa ni ya mbeya (soya fupi) kwa maeneo mengi ya Tanzania.
kablanket ndefu au nene (soya ndefu) hukubali sana ukilima ila tatizo wengi hupenda yale mafupi.
ok! ila uwe makini kwani wengi wameambulia hasara kwa kutohusisha utaalamu.nataka kufanya kazi na mkulima direct, sio mtu wa kati. Sababu itakuwa ngumu kujenga solid partnership.
Naomba kujua ABC za Kilimo cha matunda ya pesheni. Blessedkama una swali lolote juu ya masuala yahusuyo kilimo,tafadhali uliza.
Oooh asante mkuu nataka nilime Mbeya uku ntakujulishakablanket ndefu au nene (soya ndefu) hukubali sana ukilima ila tatizo wengi hupenda yale mafupi.