Janja PORI JF-Expert Member Joined Jul 31, 2011 Posts 825 Reaction score 247 Aug 26, 2011 #1 ha ha eti juz kaenda kwa babu wamemrudisha job mara leo kasimamishwa inauma au ndo mtaalamu kafa au masharti kakosea
ha ha eti juz kaenda kwa babu wamemrudisha job mara leo kasimamishwa inauma au ndo mtaalamu kafa au masharti kakosea
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Aug 26, 2011 #2 mmmmmnh kama kweli vile....?
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Aug 26, 2011 #3 Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 936 Aug 26, 2011 #4 Najaribu kucheka
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Aug 26, 2011 #5 Jaguar said: Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi? Click to expand... Bibi yeye huwa wanampakazia Uchawi kwa sababu ya macho mekundu yanayotokana na moshi wa kuni.
Jaguar said: Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi? Click to expand... Bibi yeye huwa wanampakazia Uchawi kwa sababu ya macho mekundu yanayotokana na moshi wa kuni.
Janja PORI JF-Expert Member Joined Jul 31, 2011 Posts 825 Reaction score 247 Aug 27, 2011 Thread starter #7 Jsaudi said: Bibi yeye huwa wanampakazia Uchawi kwa sababu ya macho mekundu yanayotokana na moshi wa kuni. Click to expand...

jaguar ndo napokupendeaga we unajua mambo
Jsaudi said: Bibi yeye huwa wanampakazia Uchawi kwa sababu ya macho mekundu yanayotokana na moshi wa kuni. Click to expand...

jaguar ndo napokupendeaga we unajua mambo
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 Aug 27, 2011 #8 Jaguar said: Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi? Click to expand...

Babu kwa hadithi za uongo ni hodari, Bibi ye ni hodari kwa vizawadi hasa vya kiporo asubuhi ukiamka.. We ungemsifia nani hapo? Teh teh teeh!
Jaguar said: Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi? Click to expand...

Babu kwa hadithi za uongo ni hodari, Bibi ye ni hodari kwa vizawadi hasa vya kiporo asubuhi ukiamka.. We ungemsifia nani hapo? Teh teh teeh!
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Aug 28, 2011 #9 ahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!! Karibu tule daku, msijesema sina ujamaa na nyie.
ahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!! Karibu tule daku, msijesema sina ujamaa na nyie.