GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,030
Huyo mtaalamu atakuwa antumika na mabeberu" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Huyu mtaalamu ni mtaalamu gani? Jina lake?
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Dah wewe mtalaamu siyo mzalendo kabisa"Mpumbavu"
Mjinga unaweza kumwelimisha akaelimika ila mpumbavu................!" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Huyu mtaalamu ni mtaalamu gani? Jina lake?
unaongelea River Rejuvenation ww unaejiita mtaalam,mbona hiyo ni constant sana duniani kote,kubadilika kwa kina cha maji ya mto husababishwa na sababu nyingi,pia kubadilika huku kinaweza kukawa kwa msimu,mwaka,au hata miaka kadhaa,pia kubadilika huku sio lazma iwe kupungua tu kwa kina cha maji,kina kinaweza kikaongezeka pia,sasa kwann hujawaza kuhusu sababu zilizopelekea kupungua zikibadilika na kuwa sabab zitakazoongeza kina cha maji ktk bonde la mto Ruaha????toa sababu nene ww mtaalam,kama haya ni mawazo ya kitaalam bas kupitia ww jamii tuamini kuwa tuna wataalam wa hovyo sana" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.