Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,627
1,785
Tatizo la gafla nikitaka kuwasha i pc inatoa tu mwanga Iconi ya switch on ila kuwaka pc yote haiwaki Tatizo ni nini? Betri nimeichaj imejaa lakini ishu kuwasha ndo haitaki naomba msaada nifanyaje ili niweze kuwasha? Asanteni
 
Mimi yakwangu imezima na hadi leo haiwaki. Nimepeleka kwa fundi lakini hawaoni tatizo
 
Ikiwaka at the very first what do you see at the screen? Inaonyesha hata bios menu?
 
Ukishusha window usibadili PARTITION size ndo data zako zitasalia,delete tu window ya zamani upande wa data usiuguse
 
Ilete Dodoma computer workshop nitaitengeneza itapona na isipo pona nitakulipa but huja specifie model yake eg del d620 , d630 etc nimekuambia tatizo lake according to its model, karibu.
 
Tatizo la gafla nikitaka kuwasha i pc inatoa tu mwanga Iconi ya switch on ila kuwaka pc yote haiwaki Tatizo ni nini? Betri nimeichaj imejaa lakini ishu kuwasha ndo haitaki naomba msaada nifanyaje ili niweze kuwasha? Asanteni
Hiyo inaweza tokea kama VGA imekufa. Fanya utumie monitor nyingine uone kama itakubali. Window 7 nzuri sana kama shughuli jnazofanya ni nyingi na za risk kubwa kukutana na vitus. Windows 8.1....is very delicate.
 
Window 8 is the best.... PC yangu haijanisumbua mwaka wa tatu sasa. kila takataka naitupia humu.
 
Back
Top Bottom