Mwana wa pori
Member
- Aug 13, 2022
- 12
- 12
Habari wanandugu
Anahitajika mtu wa kutoa dawa
Awe mwanaume
Umri kuanzia 23-25
Awe na cheti Cha addo
Duka lipo Arusha monduli eneo la Engaruka,umeme maji masaa 24,huduma nyingine muhimu zipo
Mshahara ni laki mbili,kula ni juu ya ofisi ila sehemu ya kulala ipo Kwa miezi mitatu ya mwanzo tu baada ya hapo utajilipia
Maelezo piga
0678600601