Mtaalam wa kutengeneza Website anatakiwa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,553
Wakuu. Ninashida ya kutengenezewa website . Nipo Mkoani Arusha.

Na aweze kuilink na fb. Tweeter. Youtube/Chrome. LinkIn etc.

Naomba kujua muda wa kuitengeneza na bei ya kutengeneza website mpaka iwe operational inafanya kazi vizuri.
 
website ya aina gani..
miPM nikupe mtu anayetengeza
 
Wakuu. Ninashida ya kutengenezewa website . Nipo Mkoani Arusha.

Na aweze kuilink na fb. Tweeter. Youtube/Chrome. LinkIn etc.

Naomba kujua muda wa kuitengeneza na bei ya kutengeneza website mpaka iwe operational inafanya kazi vizuri.

kuna static na dynamic website ;unataka ipi
Dynamic -contents zake zinabadilika badilika kwa kadiri unavyotaka
static= ikishatengenezwa contents hazichange
 
Wakuu. Ninashida ya kutengenezewa website . Nipo Mkoani Arusha.

Na aweze kuilink na fb. Tweeter. Youtube/Chrome. LinkIn etc.

Naomba kujua muda wa kuitengeneza na bei ya kutengeneza website mpaka iwe operational inafanya kazi vizuri.
Karibu tukutengeneze kama bado unahitaji
 
Wakuu. Ninashida ya kutengenezewa website . Nipo Mkoani Arusha.

Na aweze kuilink na fb. Tweeter. Youtube/Chrome. LinkIn etc.

Naomba kujua muda wa kuitengeneza na bei ya kutengeneza website mpaka iwe operational inafanya kazi vizuri.
Mkuu Karibu nikutengenezee website nzuri kwa Gharama ya Tsh laki mbili na helfu hamsini (250000) tu. Kwa mdaa wa week tatu tu. Week ya kwanza unanipa jina(domain name) unalohitaji kulitumia na data zitakazo kuwa ktk website yako. Na kihasi cha fedha Tsh Elfu hamsini (50000) kwaajili ya kusajiri jina (domain name) yako na kuhost website na kukutengenezea email utakazohitaji. Hivi vyote vitafanyika siku moja. Baada ya hapo tutakuwa tunaendelea kudesign website ikiwa online na ww unaiona live. tukishamaliza kuweka data zako zote na customization yote ya website. Utatupa review yako ya website nzima km nini kibadilishwe ama kiongezwe au nn kitoke au km kuna image, form au video za kuongezea nk. Hii yote itakuwa ni week ya pili. Ambapo utatakiwa kufanya na second payment ya Tsh laki moja (100000). Baada ya hapo sisi tutaendelea kufanya hayo marekebisho uliyoyataka. Week ya tatu tutafanya reviews ya website na kufanya final update na kukukabidhi kazi. Ambapo utatakiwa kumalizia malipo ya mwisho ambayo ni Tsh laki moja (100000).
Baada ya mwaka mmoja utalipia Tsh lakimoja kwa ajili ya hosting na domain name.
Tuwasiliane: call/whatsapp +255759702766 email Matthewkapela@gmail.com

Pitia baadhi ya kazi tulizofanya.
EDUCATION
http://www.rosaliaschools.co.tz
Usagara – Primary
http://www.ipwagasecondary.ac.tz
http://www.joylandinternationalschools.ac.tz
http://www.brascosystems.co.tz
http://www.darasani.co.tz
EDUCATION
http://www.rosaliaschools.co.tz
http://www.usagaraprimary.ac.tz
http://www.ipwagasecondary.ac.tz
http://www.joylandinternationalschools.ac.tz
http://www.brascosystems.co.tz
http://www.darasani.co.tz

Karibu mkuu tufanye kazi
 
Wakuu. Ninashida ya kutengenezewa website . Nipo Mkoani Arusha.

Na aweze kuilink na fb. Tweeter. Youtube/Chrome. LinkIn etc.

Naomba kujua muda wa kuitengeneza na bei ya kutengeneza website mpaka iwe operational inafanya kazi vizuri.
Twmbelea www.tzhost.co.tz
Muda wa kukamilisha kazi ni siku mbili

Call me on 0767659145, 0787659145
 
Back
Top Bottom