slumdweller
Member
- Aug 1, 2011
- 46
- 5
kwa yeyote mwenye uwezo wa kutengeneza spreadsheet kwa ajili ya kucontrol bar or grocery,mfano bia,soda na vinywaji vyote vinavyopatikana tz,kwa kuzingatia standard za hapa bongo
nenda microsoft.com kuna templates za bure.pia ukitumia search engines utapata,unazi-modify tu kidogo.sio jambo gumu,chukua hatua ya kujaribu
thanx man,ngoja nijaribu.ila wanadai nyingi zipo kimbele mbele zaid haitakua shid