yusufummaka
Member
- Apr 7, 2012
- 30
- 20
Baada ya migomo ya madaktari kutokea mara kwa mara nchini niliona ni vema niangalie mtaala unaotumika kufundishia wataalamu hawa muhimu. Niliangalia mitaala ya MUHAS, KCMC, na HKMU kwa uchache. Nilichokigundua ni kwamba mitaala yao inakosa masomo ya Leadership and management na entrepreneurship. Madaktari wanakosa negotiation skills, critical thinking skills, decesion making skills, conflict management/resolution skills, planing and managing change, delegation, and budgeting and priotization skills. Mbinu za namna zinamuwezesha mwenye nazo kushinda mitego mingi ya kikazi na hata nyumbani. Kukosekana kwa taaluma ya basic leadership and management katika mitaala yao kunawaondolea sifa ya kuwa wasemaji wakuu wa wizara ya Afya kwakuwa hawajui zile A-B-Cs za uongozi. Somo la entrepreneurship ni muhimu kwa madaktari ili liwawezeshe kufikiria nje ya box katika kutatua kero mbalimbali za kimaisha. Ni jambo la kawaida kuwasikia madaktari kila wakati wakiongea mambo ya wagonjwa wodini, theather, clinics. Yaani kila wakikutana wao ni mambo ya meconium, nimekunywa amniotic fluid, bench deaths, hii inawafanya wawe kama watumwa kwenye zahanati na hospitali za wafanya biashara, hawana muda wa kupunzika wala kuwaza mambo mengine ama kujiajiri wenyewe ndani ya nchi yao, badala yake wanawaza kwenda ng'ambo wakatumikishwe na wazungu kwa manyanyaso makubwa ya kibaguzi.
Pengo la ukosefu wa taaluma ya uongozi kwenye mtaala lilikuwa linapunguzwa na somo la siasa mashuleni na vyuoni na mafunzo ya JKT ya mwaka mzima. Baada ya mafunzo hayo kutoweka vijana wetu wakiwemo madakatari wakawa nyoronyoro katika vitu vingi.
Mfano, badala ya kuacha wagonjwa wajifie wenyewe madakatari wangeanza kwa kuchagua strong negotiation team ya watu wenye heshima ndani ya profession na jamii kama waziri wao wa afya, Tughe, Dr. Kebwe, Prof. Pallanjo, prof. D. Mwakyusa, Dr. Yongolo, Kapesa, Sarungi, Kahamba, n.k ili muwatangulize mbele katika safari ya kumuona Mh. Rais kumweleza kero zenu badala ya kuwatanguliza mbele watu junior na wasiofahamika kama akina Dr. Ulimboka. Katika vuguvugu hili la vyama vingi ni vigumu kwa mtawala kutofautisha kati ya kero halisi na siasa za upinzani. Kama hata Waziri wako hutaki kuongea naye nani atakushika mkono kwenda kwa Rais?
Ndiyo maana sisi wananchi (potential patients) hatuungi mkono mgomo huu ingawa malengo ya mgomo wenu mnasema ni kututetea sisi tupate mazingira bora ya kuhudumiwa. Mnatakiwa mtushawishi sisi na watu wa taaluma nyingine kwamba kuna tatizo linalohitaji nguvu ya umma kulitatua. Mfano, kama mngetuambia tuchange nauli ili tutume mtu Uswisi akadai vijisenti vyetu vilivyofichwa huko ili tuje tununue CT scan, hakika tungeunga mkono wengi. Ama tuuze majumba ya vigogo waliyoyapata kwa njia za kifisadi ili tukanunue vitanda, wote tungeunga mkono. Ama wote tuungani tuwan'goe madarakani watu wanaotuibia wote tungeunga mkono. Lakini mnapotuambia kuwa nyinyi madakatari mnataka kima cha chini chenu kiwe mil 3,5, how about cleaners, pharmasists, nurses, lab tech, walimu, n.k inamaana mngepewa hela hiyo basi msingegoma kamwe. Acheni utoto...........
Baada ya migomo ya madaktari kutokea mara kwa mara nchini niliona ni vema niangalie mtaala unaotumika kufundishia wataalamu hawa muhimu. Niliangalia mitaala ya MUHAS, KCMC, na HKMU kwa uchache. Nilichokigundua ni kwamba mitaala yao inakosa masomo ya Leadership and management na entrepreneurship.....
Sawa kabisahapo kwenye red .....ama kweli jambo usilorijua n ucku wa giza! una maana gan unaposema dactari c critical thinker, na hana good decision making? kwa taarifa yako tu bila kuwa na sifa hizo basi hutaweza kutibu kabsa kwenye nchi kama TZ ambayo haina hata vifaamhimu vya kufanyia kazi.
Dactari 1:30000 patients, kila cku unatoka job saa 12 hadi cku ya sikukukuu utapataje mda wa kufanya hicho unachokiita ujaclimari, hata kama n kufuga kuku huwez! hii n tofautna kaz zngine ambao wanatoka saa tisa na nusu...
Baada ya migomo ya madaktari kutokea mara kwa mara nchini niliona ni vema niangalie mtaala unaotumika kufundishia wataalamu hawa muhimu. Niliangalia mitaala ya MUHAS, KCMC, na HKMU kwa uchache. Nilichokigundua ni kwamba mitaala yao inakosa masomo ya Leadership and management na entrepreneurship.....
Huhitaji elimu ya uongozi au elimu ya ujasilia mali kutambua kwamba huduma za afya zinabakwa na mafisadi huku wakiwatumia watu wapuuzi kama wewe kuwatetea!Baada ya migomo ya madaktari kutokea mara kwa mara nchini niliona ni vema niangalie mtaala unaotumika kufundishia wataalamu hawa muhimu. Niliangalia mitaala ya MUHAS, KCMC, na HKMU kwa uchache. Nilichokigundua ni kwamba mitaala yao inakosa masomo ya Leadership and management na entrepreneurship...
Baada ya migomo ya madaktari kutokea mara kwa mara nchini niliona ni vema niangalie mtaala unaotumika kufundishia wataalamu hawa muhimu. Niliangalia mitaala ya MUHAS, KCMC, na HKMU kwa uchache. Nilichokigundua ni kwamba mitaala yao inakosa masomo ya Leadership and management na entrepreneurship.
Madaktari wanakosa negotiation skills, critical thinking skills, decesion making skills, conflict management/resolution skills, planing and managing change, delegation, and budgeting and priotization skills. Mbinu za namna zinamuwezesha mwenye nazo kushinda mitego mingi ya kikazi na hata nyumbani.
Kukosekana kwa taaluma ya basic leadership and management katika mitaala yao kunawaondolea sifa ya kuwa wasemaji wakuu wa wizara ya Afya kwakuwa hawajui zile A-B-Cs za uongozi. Somo la entrepreneurship ni muhimu kwa madaktari ili liwawezeshe kufikiria nje ya box katika kutatua kero mbalimbali za kimaisha.
Ni jambo la kawaida kuwasikia madaktari kila wakati wakiongea mambo ya wagonjwa wodini, theather, clinics. Yaani kila wakikutana wao ni mambo ya meconium, nimekunywa amniotic fluid, bench deaths, hii inawafanya wawe kama watumwa kwenye zahanati na hospitali za wafanya biashara, hawana muda wa kupunzika wala kuwaza mambo mengine ama kujiajiri wenyewe ndani ya nchi yao, badala yake wanawaza kwenda ng'ambo wakatumikishwe na wazungu kwa manyanyaso makubwa ya kibaguzi.
Pengo la ukosefu wa taaluma ya uongozi kwenye mtaala lilikuwa linapunguzwa na somo la siasa mashuleni na vyuoni na mafunzo ya JKT ya mwaka mzima. Baada ya mafunzo hayo kutoweka vijana wetu wakiwemo madakatari wakawa nyoronyoro katika vitu vingi.
Mfano, badala ya kuacha wagonjwa wajifie wenyewe madakatari wangeanza kwa kuchagua strong negotiation team ya watu wenye heshima ndani ya profession na jamii kama waziri wao wa afya, Tughe, Dr. Kebwe, Prof. Pallanjo, prof. D. Mwakyusa, Dr. Yongolo, Kapesa, Sarungi, Kahamba, n.k ili muwatangulize mbele katika safari ya kumuona Mh. Rais kumweleza kero zenu badala ya kuwatanguliza mbele watu junior na wasiofahamika kama akina Dr. Ulimboka.
Katika vuguvugu hili la vyama vingi ni vigumu kwa mtawala kutofautisha kati ya kero halisi na siasa za upinzani. Kama hata Waziri wako hutaki kuongea naye nani atakushika mkono kwenda kwa Rais?
Ndiyo maana sisi wananchi (potential patients) hatuungi mkono mgomo huu ingawa malengo ya mgomo wenu mnasema ni kututetea sisi tupate mazingira bora ya kuhudumiwa. Mnatakiwa mtushawishi sisi na watu wa taaluma nyingine kwamba kuna tatizo linalohitaji nguvu ya umma kulitatua. Mfano, kama mngetuambia tuchange nauli ili tutume mtu Uswisi akadai vijisenti vyetu vilivyofichwa huko ili tuje tununue CT scan, hakika tungeunga mkono wengi.
Ama tuuze majumba ya vigogo waliyoyapata kwa njia za kifisadi ili tukanunue vitanda, wote tungeunga mkono. Ama wote tuungani tuwan'goe madarakani watu wanaotuibia wote tungeunga mkono. Lakini mnapotuambia kuwa nyinyi madakatari mnataka kima cha chini chenu kiwe mil 3,5, how about cleaners, pharmasists, nurses, lab tech, walimu, n.k inamaana mngepewa hela hiyo basi msingegoma kamwe. Acheni utoto...........
Baada ya migomo ya madaktari kutokea mara kwa mara nchini niliona ni vema niangalie mtaala unaotumika kufundishia wataalamu hawa muhimu. Niliangalia mitaala ya MUHAS, KCMC, na HKMU kwa uchache. Nilichokigundua ni kwamba mitaala yao inakosa masomo ya Leadership and management na entrepreneurship. Madaktari wanakosa negotiation skills, critical thinking skills, decesion making skills, conflict management/resolution skills, planing and managing change, delegation, and budgeting and priotization skills. Mbinu za namna zinamuwezesha mwenye nazo kushinda mitego mingi ya kikazi na hata nyumbani. Kukosekana kwa taaluma ya basic leadership and management katika mitaala yao kunawaondolea sifa ya kuwa wasemaji wakuu wa wizara ya Afya kwakuwa hawajui zile A-B-Cs za uongozi. Somo la entrepreneurship ni muhimu kwa madaktari ili liwawezeshe kufikiria nje ya box katika kutatua kero mbalimbali za kimaisha. Ni jambo la kawaida kuwasikia madaktari kila wakati wakiongea mambo ya wagonjwa wodini, theather, clinics. Yaani kila wakikutana wao ni mambo ya meconium, nimekunywa amniotic fluid, bench deaths, hii inawafanya wawe kama watumwa kwenye zahanati na hospitali za wafanya biashara, hawana muda wa kupunzika wala kuwaza mambo mengine ama kujiajiri wenyewe ndani ya nchi yao, badala yake wanawaza kwenda ng'ambo wakatumikishwe na wazungu kwa manyanyaso makubwa ya kibaguzi. Pengo la ukosefu wa taaluma ya uongozi kwenye mtaala lilikuwa linapunguzwa na somo la siasa mashuleni na vyuoni na mafunzo ya JKT ya mwaka mzima. Baada ya mafunzo hayo kutoweka vijana wetu wakiwemo madakatari wakawa nyoronyoro katika vitu vingi. Mfano, badala ya kuacha wagonjwa wajifie wenyewe madakatari wangeanza kwa kuchagua strong negotiation team ya watu wenye heshima ndani ya profession na jamii kama waziri wao wa afya, Tughe, Dr. Kebwe, Prof. Pallanjo, prof. D. Mwakyusa, Dr. Yongolo, Kapesa, Sarungi, Kahamba, n.k ili muwatangulize mbele katika safari ya kumuona Mh. Rais kumweleza kero zenu badala ya kuwatanguliza mbele watu junior na wasiofahamika kama akina Dr. Ulimboka. Katika vuguvugu hili la vyama vingi ni vigumu kwa mtawala kutofautisha kati ya kero halisi na siasa za upinzani. Kama hata Waziri wako hutaki kuongea naye nani atakushika mkono kwenda kwa Rais? Ndiyo maana sisi wananchi (potential patients) hatuungi mkono mgomo huu ingawa malengo ya mgomo wenu mnasema ni kututetea sisi tupate mazingira bora ya kuhudumiwa. Mnatakiwa mtushawishi sisi na watu wa taaluma nyingine kwamba kuna tatizo linalohitaji nguvu ya umma kulitatua. Mfano, kama mngetuambia tuchange nauli ili tutume mtu Uswisi akadai vijisenti vyetu vilivyofichwa huko ili tuje tununue CT scan, hakika tungeunga mkono wengi. Ama tuuze majumba ya vigogo waliyoyapata kwa njia za kifisadi ili tukanunue vitanda, wote tungeunga mkono. Ama wote tuungani tuwan'goe madarakani watu wanaotuibia wote tungeunga mkono. Lakini mnapotuambia kuwa nyinyi madakatari mnataka kima cha chini chenu kiwe mil 3,5, how about cleaners, pharmasists, nurses, lab tech, walimu, n.k inamaana mngepewa hela hiyo basi msingegoma kamwe. Acheni utoto...........
Hapo kwenye red .....ama kweli jambo usilorijua n ucku wa giza! una maana gan unaposema dactari c critical thinker, na hana good decision making? kwa taarifa yako tu bila kuwa na sifa hizo basi hutaweza kutibu kabsa kwenye nchi kama TZ ambayo haina hata vifaamhimu vya kufanyia kazi.
Dactari 1:30000 patients, kila cku unatoka job saa 12 hadi cku ya sikukukuu utapataje mda wa kufanya hicho unachokiita ujaclimari, hata kama n kufuga kuku huwez! hii n tofautna kaz zngine ambao wanatoka saa tisa na nusu.
Hao unaowataja kua na busara....wamekuwepo tangia madai haya yaanze miaka ya 60s...ww unawaita wenye busara kuna hata mmoja umeckia akitetea haya? Huyo Dr. Kebwe amekua naibu mganga mkuu BMC, RMO, na sasa n mbunge wa serengeti anajua vzuri matatizo yaliyopo but nashangaa jana kwenye kipimajoto anaongea sera za vtabuni ambavyo havipo kwenye uharisia kazni.
Uctumie neno sisi.....wenzako wameelewa nashangaa bado wewe ambaye naamin utakuwa kiasi furan umesoma kuliko bibi yangu unaongea vitu vya kipuuzi namna hii fualitilia Doctor's strike ya israel, ureno ambayao wananchi waelewa wamelimaliza hili mapema.
kweli BOTHA hakukosea.....BLACKS CANT THINK BEYOND THERE NOSE, & CANT PLAN BEYOND ONE YEAR......
No one will notice what you do untill you don't do it-tunashukuru kwa ushauri Dr!
nahisi umekosea jukwaa kama mwenzio mleta sredi!Wish I could like this thread like 1000times, umenisemea yote niliyokua nawaza. Sasa shida inakuja kwa wabongo wanaowaunga mkono migomo ya madaktari bila hata kujua ni nini madatari wanagomea, pale ni mtu anaomba aongezewe mshahara wake sio kuboresha huduma mahospitalini hiyo ni kama subsidiary tu kwao.
Nilijua tu utatokea mtu kama wewe ambaye kazi kukubali kila kitu madaktari wasemayo bila hata kujua tija yao, siku madatari wakisema tunataka wake zenu nadhani kuna watu kama nyie mtakubali coz mmeaminishwa na mmeamini kwamba taaluma ya udaktari tu ndio taaluma sahihi na yenye kuendesha nchi na inabidi wasikilizwe kila wasemalo na muda wowote wasemao na inabdi litimizwe instantly.nahisi umekosea jukwaa kama mwenzio mleta sredi!