kama kuna mwanaume hajatajwa na mtoa mada, basi ye ni mwanaume rijali.
Kitu nachotake care maishani ni nywele zangu tu.. mengine nawaachia nyieJembe Da'Vinci nakuambia mtaachana tu,si unajifanya una takecare sana,mtaachana tu mi nakuambia
Muongozo haujaeleweka
Hizohizo nywele ,mtaachana tuKitu nachotake care maishani ni nywele zangu tu.. mengine nawaachia nyie
Nilidhani ni mimi peke yanguNahisi sijaelewa
Kisa cha sms kutokujibiwa nini?Nilidhani ni mimi peke yangu
Sms ipi rafiki? Pm, normal sms, WhatsApp?Kisa cha sms kutokujibiwa nini?
Kasoro tsap tu.. ila kote NimejaribuSms ipi rafiki? Pm, normal sms, WhatsApp?
Sijapata msg yoyote. Last time I checked my PM was closed. Sidhani kama ilifanikiwa kufikaKasoro tsap tu.. ila kote Nimejaribu
How was closed? Literally nobody can do thatSijapata msg yoyote. Last time I checked my PM was closed. Sidhani kama ilifanikiwa kufika
Nobody can pm me, am sure of that. Anyone can do thatHow was closed? Literally nobody can do that
No one can close conversation..Leaving itNobody can pm me, am sure of that. Anyone can do that
Lugha gongana hebu nirudi kwenye lugha yangu maana kichwa kishaanza kuniuma😄😄. Nilimaanisha nimefunga pmNo one can close conversation..Leaving it
Mkuu hongera kwa "kubatizwa upya" na Maxemo Melo wa JFBila kuwepo NAKWEDE huu uzi haujakamilika.
Hahaha... Hongera kwa kugundua. Maxence alifanya yake. Sema umehisi vipi, au Avatar imekusaidia? 😂😂Mkuu hongera kwa "kubatizwa upya" na Maxemo Melo wa JF
Yesu ana kama wiki mbili hivi tangia Yohana alivyo mbatiza, na Jumapili ya jana Yesu alikwenda kumtembelea Yohana.
Imebidi niingie kwenye a/c yako kuangalia posts zako za nyuma ili nijue ni nani. hahhahahahahhhahh.
Ahsante sana tuko pamoja