Mtaachana tu, nawaambieni mtaachana tu

Mtaachana tu, nawaambieni mtaachana tu

Gusanisha hasi na chanya
Gusanisha paka na panya
Gusanisha nyama kwa nyama.
Maama weeeee!

Nasoma uzi wako nasikia huo wimbo!

Mimi sina cha kupoteza hapa, ila niangalie ambaye hatutaachana kirahisi hadi mbinguni tuwe wote.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom