Mtaa wa Lumumba...kwetu pazuri

Mtaa wa Lumumba...kwetu pazuri

za lumumba wamefanya mapazia ya vyoo vya ppsize huko vijijini.
_hii imekaa kitu na heshima yake marasi wanasema fully respect!!!
 
Naona kama hujui maana kamili ya mtaa wa lumumba hapa tanzania.Hizi kamwe si rangi za mtaa wa lumumba.

Mkuu nadhani alikua anamaanisha kuwa Mtaa wa Lumumba huwa wanawakanyaga Chadema, wanawakalia Chadema hata pia kuwaegamia.

Hii inanikumbusha nyumbani kwa yule shabiki nguli wa Yanga Mzee Akilimali, ambapo sitting room kwake ameweka Sofa nyekundu, kwa minajili kwamba mda wowote akijisikia anamkalia Mtani wake Simba Sc.
 
Back
Top Bottom