Mtaa umebalance shobo

Yani Hii changamoto sasa ndo nayoisemea ...
 
Aisee mim nimemaliza university 2016,2017 nikaingia jeshini aisee japo safari yangu ilikuwa ngumu sana ,so sio jobless na hapa kuna jambo limemkuta ndugu yangu huko kwenye masuala ya job ndo nimechoka
😀🤣kabsa mkuu mm bado jobless napiga dei waka tu mtaani ikifka jioni mida ya kuskiliza udaku kijiwe nongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…