Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,209
Wakuu heshima kwenu. Nipo nna mpango wa kufungua pharmacy hapa Mbeya lakini sijajua mtaa gani unafaa kibiashara. Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu. Asante
Hapa Michango ya WADAU itanisaidia sana
Naam KiongoziMkuu,
Wakuu heshima kwenu. Nipo nna mpango wa kufungua pharmacy hapa Mbeya lakini sijajua mtaa gani unafaa kibiashara. Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu. Asante
Sawa bidadaWakuu heshima kwenu. Nipo nna mpango wa kufungua pharmacy hapa Mbeya lakini sijajua mtaa gani unafaa kibiashara. Naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu. Asante