Unaonekana uko karibu best ila kufika hapo ni safari tena lazima kuaga, kuhusu wakenya kuutaja nadhani ni lugha tu ya biashara. Mamtoni celeb mmoja akiingia mgahawani wanaweka tangazo nje ili watu wengi waingie na bei ya vitu inapanda utadhani atawanunulia, so kuutaja mlima it is but business kama wanaweza waambie waupande kupitia huko Amboseli!