Kampuni ya Titan Lithium Inc ya Marekani yagundua Madini ya Lithium Kilimanjaro

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,041
49,722
Kampuni ya Lithium Inc ya Marekani imefanikiwa kufanya Ugunduzi Mkubwa wa Madini ya Lithium kwenye maeneo mawili yaliyo jirani na mlima Kilimanjaro.

Ugunduzi huo unatajwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya Nchi 10 Zenye Madini ya Lithium Duniani.

==========

A US-based company has joined the list of multinationals looking for a slice of Tanzania’s lithium reserves

A US-based company has joined the list of multinationals looking for a slice of Tanzania’s lithium reserves
  • US company Titan Lithium Inc. is attempting to strengthen its position in Tanzania owing to the discovery of large lithium reserves in the country.
  • The preliminary findings from two separate soil geochemical samplings conducted in Tanzania were described as encouraging.
  • The new discoveries surpass earlier lithium finds discoveries in Tanzania confined to Mohanga, a region in central Tanzania close to Dodoma.

Following the discovery of lithium deposits south of Mount Kilimanjaro with large enough reserves to make Tanzania a global market leader for the increasingly popular mineral, US company Titan Lithium Inc. is attempting to strengthen its position in Tanzania.

This past week, the US-based company released preliminary findings from two separate soil geochemical samplings conducted in two locations that straddled the Kilimanjaro and Arusha regions, indicating high lithium grades up to 2.79 percent lithium oxide.

The results were "encouraging enough," to warrant additional investigation, the Titan Lithium Chairman Harp Sangha noted. He was quoted as saying, "we're still at a preliminary stage but are now committed to start pursuing formal drilling approvals from the authorities.

All of this could take time, so we can’t commit to any specific timelines to start proper drilling." The new discoveries surpass earlier lithium finds discoveries in Tanzania confined to Mohanga, a region in central Tanzania close to Dodoma, where at least two Australian multinational companies have stakes.

In Mohanga, lithium deposits with values greater than 1.5% lithium oxide was discovered by Liontown Resources in 2017. Cassius Mining Ltd. purchased prospecting licenses covering about 300 square kilometers in the same region in July 2022. About 200 square kilometers are occupied by the Titan 1 and Titan 2 project areas in the Mt. Kilimanjaro region. Surface samplings have revealed high-value lithium over a wide area, according to Sangha, and they are still working to define the discovery's boundaries throughout the entire region.

Additionally, he claimed that the region was developing into a "repository for a vast area of volcanic ash collection," which would make for a lithium-rich environment. The larger Titan 1 prospect is compared to Titan Lithium's primary West End Lithium project in Nevada, the US, which the company claims is "one of the largest lithium resources in the world, both morphologically and depositionally.

Source: Africa Business Insider
 
Hawa wazungu wamegundua inamaana walikuwa wanafanya tafiti kwenye iyo ardhi apo moshi? Na kama ndio serikali ilikuwa inajua kuhusu hili?

Mwisho wa siku tutakuja kuuzwa kwenye nchi yetu wenyewe how come marekani anafanya tafiti kwenye nchi yetu? Hivi kuna mtu anaweza kwenda marekani akaanza kufanya tafiti ndani ya taifa lao na akawa salama?
 
Mchaga anauzaga ardhi?

Mkuu kwa katiba ya sasa aridhi ni mali ya serikali wewe ni mpangaji tu lbd kwa 33, 66 au 99. Kesho serikali ikiamua inataka aridhi yake wewe ulipo jenga inabidi wewe na nyumba yako mtafute sehemu ya kwenda.

Katiba ya kenya ni tofauti sana na ya kwetu kenya aridhi ni mali ya mtu ndo maana familia na koo za akina kenyata na odinga zinamiliku 53+ ya aridhi yoke ya kenya
 
Hawa wazungu wamegundua inamaana walikuwa wanafanya tafiti kwenye iyo ardhi apo moshi? Na kama ndio serikali ilikuwa inajua kuhusu hili? Mwisho wa siku tutakuja kuuzwa kwenye nchi yetu wenyewe how come marekani anafanya tafiti kwenye nchi yetu? Hivi kuna mtu anaweza kwenda marekani akaanza kufanya tafiti ndani ya taifa lao na akawa salama?
Ndio manake walikuwa wanafanya utafiti na hakuna kampuni itafanya utafiti bila kupewa Leseni na Serikali.

 
Mkuu kwa katiba ya sasa aridhi ni mali ya serikali wewe ni mpangaji tu lbd kwa 33, 66 au 99. Kesho serikali ikiamua inataka aridhi yake wewe ulipo jenga inabidi wewe na nyumba yako mtafute sehemu ya kwenda...
Kuna jambo hujanielewa.

Huwezi kwenda kwa mtu umlazimishe kuuza ardhi.

Tunaposema ardhi ni mali ya serikali ni pale panapotokea ardhi inahitajika kwa matumizi ya umma kama shule, hosptital au uchimbaji madini ndipo serikali itakufidia uhamie kwingine.

Sio raia uende kulazimisha kununua.

Mchaga hauzagi ardhi kizembe...akitaka kuuza watauziana ndani ya ukoo lakini sio mtu wa kuja
 
Hawa wazungu wamegundua inamaana walikuwa wanafanya tafiti kwenye iyo ardhi apo moshi? Na kama ndio serikali ilikuwa inajua kuhusu hili? Mwisho wa siku tutakuja kuuzwa kwenye nchi yetu wenyewe how come marekani anafanya tafiti kwenye nchi yetu? Hivi kuna mtu anaweza kwenda marekani akaanza kufanya tafiti ndani ya taifa lao na akawa salama?
Duuh.
Kabla ya utafiti lazima pawepo na taarifa za awali za viashiria vya madini toka kwa wataalamu wa miamba/ madini.

Ndipo inatangazwa tenda ya kufanya utafiti.
MAjibu ya utafiti ni mali ya serikali ya Tanzania ili ifanye maamuzi kutafuta mbia au mwekezaji/mchimbaji
 
Ndio manake walikuwa wanafanya utafiti na hakuna kampuni itafanya utafiti bila kupewa Leseni na Serikali....

Daaah sasa ayo madini wameyagundua wao inamaana tayari niya kwao? Hivi nani katuloga, Raisi samia kama upo huku angalia haya mambo aisee. Pelekeni vijana wakasome haya madini ilikuwa hazina ya badae kwa watoto na wajukuu zetu. Hivi mkimaliza kila kitu kwa miaka hii michache huko badae watoto wetu watajivunia nini kwenye nchi yao??? Huu uroho wa pesa watauza utu wetu

Na hawa wazungu sio kama walikuwa hawajui iyo mali iko hapo. Walikuwa wanajua waliaubiri muda muafaka na kwavile matozo ndo anashika usukani atafurahia ila hapa tunapigwa tena na kitu kizito!

Wangesoma vijana wetu wangekuja kufaidika wao na taifa lao hizi haraka niza nini? RAISI SAMIA em angalia haya mambo hii sio sawa hawa mbuzi niwakufukuza waende kufanya tafiti kwao
 
Duuh.
Kabla ya utafiti lazima pawepo na taarifa za awali za viashiria vya madini toka kwa wataalamu wa miamba/ madini.

Ndipo inatangazwa tenda ya kufanya utafiti.
MAjibu ya utafiti ni mali ya serikali ya Tanzania ili ifanye maamuzi kutafuta mbia au mwekezaji/mchimbaji
Sasa huwoni kuwa tunapigwa hapa mkuu?
 
Back
Top Bottom