Mswaki wa injini ya Krikuu..Natafuta

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
Kwa wale wavunjavunja magari...nahitaji mswaki wa krikuu injini ya kabuleta....ila iwe nzima kabisa, nimetafuta shaurimoyo zipo ila bei zimesimama mno...1m-800k
Mimi nina chini ya hapo. Mwenye kujua tafadhari...0652656565
 
Back
Top Bottom