Nimeziangalia baadhi!
Nadhani hizi ni sheria mpya. Wacha kwanza zipitishwe tuone zinafanyaje kazi field.
Zikisha anza kung'ata vilio vikasikika, ndio tutakuja sasa kufanyizia amendment. Kwa sasa wanaweza kuzipitisha kama zilivyo.
Kila la kheri kwa wawakilishi katika kuzipitisha na kwa Rais-Zbar katika kuzisaini.