Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Nov 7, 2023 #1 Tangazo la Kupokea maoni kuhusu Mswada. Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,652 Reaction score 6,707 Nov 7, 2023 #2 Na sisi wa bara tunaruhusiwa kutoa maoni?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,903 Nov 7, 2023 #3 Mambo yenu ya Zanzibar sisi hayatuhusu
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,652 Reaction score 6,707 Nov 7, 2023 #4 Nimeziangalia baadhi! Nadhani hizi ni sheria mpya. Wacha kwanza zipitishwe tuone zinafanyaje kazi field. Zikisha anza kung'ata vilio vikasikika, ndio tutakuja sasa kufanyizia amendment. Kwa sasa wanaweza kuzipitisha kama zilivyo. Kila la kheri kwa wawakilishi katika kuzipitisha na kwa Rais-Zbar katika kuzisaini.
Nimeziangalia baadhi! Nadhani hizi ni sheria mpya. Wacha kwanza zipitishwe tuone zinafanyaje kazi field. Zikisha anza kung'ata vilio vikasikika, ndio tutakuja sasa kufanyizia amendment. Kwa sasa wanaweza kuzipitisha kama zilivyo. Kila la kheri kwa wawakilishi katika kuzipitisha na kwa Rais-Zbar katika kuzisaini.