Appealy hair dressing saloon wanahitaji msusi wa saloon (ya kike).
Mahali: Nzuguni kwa masista, Dodoma.
Sifa za mwombaji.
1. Awe anajua kutumia mashine za saloon.
2. Awe anajua kusuka mitindo yote.
3. Awe mkazi wa Dodoma.
Kama una sifa, nitumie ujumbe WhatsApp: +255 656 203 045.