Msumbiji sasa wana Gas mara 2 ya Saudia

Msumbiji sasa wana Gas mara 2 ya Saudia

Nyakipambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
435
Reaction score
141
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: articleTitle"]Mozambique looks to harvest energy reserves[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: Tmp_hSpace10"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Investors pour into country after reserves of natural gas twice the size of Saudi Arabia's discovered.

Mozambique looks to harvest energy reserves - Africa - Al Jazeera English

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Jirani zetu wa Nchumbiji wakijipanga wameula. Taarifa ni kwamba wamegundua gas nyingi mara mbili ya ile waliyon ayo Saudia na bado utafiti unaendelea. Katika kisima kimoja tu jamaa wamepata gas nyingi kuliko gas yote waliyonayo Libya....
 
Kama hii ni kweli basi this is good news for Africa. Kwa walivyojipanga Msumbuji, uwezekano wa kupaa ni mkubwa. Ingawa wana rushwa viongozi wao wana visheni siyo kama hawa wezi wetu wanaogawa mali zetu kwa zawadi kama suti na trip za nje.
 
...Tatizo lipo palepale...hata kama nchi zetu (Tz na Mozambique) zikiwa na gesi (na maliasili) mara 100 zaidi ya Iran na Saudia (zote kwa pamoja) tatizo letu ni KUSHINDWA KUTAWALA (KUONGOZA NA KU-MENEJI) RASILMALI ZETU. Akili zetu zimekaa kushoto na macho yetu ni MAKENGEZA...tunaangalia lakini HATUONI, tunasikiliza lakini HATUSIKII...hapa ndipo tulipokwama. UJINGA WA MWAFRIKA...!
 
Isije ikaja waletea laana!

Kwa africa ugunduzi wa raslimali inaweza kuwa laana au baraka lakini mara nyingi naona imekuwa laana. Tusubiri kuona Msumbiji watabadilishaje hali za maisha ya raia wao kwa utajiri wa gas waliopata
 
Habari nzuri kwa wenzetu. Nina hakika taifa lao litanufaika. Naamini kuwa sisi ndio tutakaoaibika kwa maana utajiri wa gesi utasomeka kwenye makaratasi tu lakini si kunufaisha wananchi unless ...... kutokee mabadiliko makubwa ya kifikra na kiutendaji. Kupenda kufanyiwa kazi kutaponza taifa letu.:majani7:
 
Acha gesi hata Mito mingi ipo kusini mwa jangwa la Sahara
Msumbiji na sisi hatupishani na Gesi haitusaidii kwani hata umeme ni asilimia 14 wanautumia km mwanga na mawasiliano, asilimia 2 ndio wanaopikia kwa chakula
Sasa tukipewa gasi tutaitumia kwa kazi gani wakati tunaishi kwenye nyumba za nyasi tunapikia kuni
Hao Msumbiji wako nyuma yetu kimaendeleo na hawataweza kuisafirisha kwenda nchi za nje km Russia ifanyavyo
Wasifieni tu km Zaire iliposifiwa kwa kutoa Madini ya Uranium na kutengeneza Bomu la Nyuklia, wakati Barabara hawana hata Msumbiji
 
duuu naombeni tumuulize tena naibu waziri wetu wa elimu inawezekana tanzania ni muungano wa msumbiji zimbabwe na pemba...kama ni hivyo tuwaambie wamakonde kabisa kua hiyo gas ni mali yetu pia
 
Tunako elekea Ges na Mafuta haivitakuwa Dill tena make kwa sasa Nchi nyingi zinagundua hii kitu, Na kama mtakumbuka Madagaska nao wamegundua ges, Haya Kenya nao wamo, Tanzania ndo kabisa, Msumbiji, Uganda wana Mafuta, Na Mataifa makubwa yanayo inukia kama Brazili kwa sasa Wanamafuta Mengi sana pamoja na Gesi na walisha anza Kuchimba.

Marekani anajiandaa kuanza Kuchimba Gesi yake ambayo kama sikosei ni Gesi ya Pili kwa Ukubwa Duniani baada ya URUSI, Make ya USA ina ujazo wa Cubic Mita trilion 28 kama nimekosea mtanisahihisha kwenye ujazo hapo wakati ya URUSI ni cubic mita trilion 30

Kwa Tanzania mpaka sasa ya kwetu ina ujazo wa CUBI MITA trilion 3, so utaona kwamba tunako elekea Mafuta na Na gesi havitakuwa dill sana,

Kwa sasa hata Africa nchi nyingi sana zimegundua mafuta na zingine zimeisha anza kuchimba kama Ghana, na Uganda ananza hiyo ni kutoa zile za zamani kama SUDANI, ANGOLA, NIGERIA, LIBIYA. ALIGERIA, na kazalika na tukumbuke Mafuta nayo yametofautiana UBORA mfano Mafuta ya NIGERIA INASEMEKANA NI MOJA KATI YA MAFUTA BORA KABISA ULIMWENGUNI
 
Good news kwa wawekezaji na wateule wachache....kumbukeni Frelimo na CCM ni ndugu moja.
Wakati sie tumebobea kwenye nyumba za tembe, wao ni makuti kwa kwenda mbele.

Miji mingi Msumbiji imejengwa kimpangilio kwa vile wareno walichelewa kuondoka....
 
Tunako elekea Ges na Mafuta haivitakuwa Dill tena make kwa sasa Nchi nyingi zinagundua hii kitu, Na kama mtakumbuka Madagaska nao wamegundua ges, Haya Kenya nao wamo, Tanzania ndo kabisa, Msumbiji, Uganda wana Mafuta, Na Mataifa makubwa yanayo inukia kama Brazili kwa sasa Wanamafuta Mengi sana pamoja na Gesi na walisha anza Kuchimba.

Marekani anajiandaa kuanza Kuchimba Gesi yake ambayo kama sikosei ni Gesi ya Pili kwa Ukubwa Duniani baada ya URUSI, Make ya USA ina ujazo wa Cubic Mita trilion 28 kama nimekosea mtanisahihisha kwenye ujazo hapo wakati ya URUSI ni cubic mita trilion 30

Kwa Tanzania mpaka sasa ya kwetu ina ujazo wa CUBI MITA trilion 3, so utaona kwamba tunako elekea Mafuta na Na gesi havitakuwa dill sana,

Kwa sasa hata Africa nchi nyingi sana zimegundua mafuta na zingine zimeisha anza kuchimba kama Ghana, na Uganda ananza hiyo ni kutoa zile za zamani kama SUDANI, ANGOLA, NIGERIA, LIBIYA. ALIGERIA, na kazalika na tukumbuke Mafuta nayo yametofautiana UBORA mfano Mafuta ya NIGERIA INASEMEKANA NI MOJA KATI YA MAFUTA BORA KABISA ULIMWENGUNI

Mafuta na Gesi bado yatakuwa ni dili tu maana watu wanazidi kuongezeka duniani kote yaani hii ni sawa na mahitaji ya chakula yanavyoadimika kwa nchi nyingi, lamsingi ni kujipanga tu kwa uongozi wa nchi yetu na si chama kimoja tu ndiyo kiwe kinaongoza nchi sikuzote maana mabenki ya uswisi bado yatajaa mapesa ya wachache wengi wetu tukilia na kusaga meno, nahivyo hizi rasilimali zitakuwa laana kwetu milele!
 
Mungu aweke mkono wake laana ya rasilimali Afrika ipite mbali.Msumbiji ni ndugu na Tanzania tulimwaga damu yetu kwaajili ya ndugu zetu wajikomboe.

Mungu ibariki Nchumbiji

Mungu ibariki Afrika.
 
Mungu aweke mkono wake laana ya rasilimali Afrika ipite mbali.Msumbiji ni ndugu na Tanzania tulimwaga damu yetu kwaajili ya ndugu zetu wajikomboe.

Mungu ibariki Nchumbiji

Mungu ibariki Afrika.

Angola , Gabon na Congo zote mbili zina madini nyingi sana lakini angalia hali ilivyo

wanashindwa hata na kavisiwa vya Seychelles na Mauritius
 
Nonda ni lazima tujifunze kuishi na hawa Wamarekani. Waarabu mbona wameishi nao hivyo hivyo na unaona mambo yao yako poa tu. Waafrica hawana jinsi ya kukwepa kujichanganya na nchi nyingine ikiwemo US. Haitawezekana maana tunawahitaji ili wanunue hizo rasilimali zetu. Cha msingi ni kuwa makini na mikataba tunayoingia nao
 
Back
Top Bottom